Kubbra Hooda
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 208
- 297
Inawezekana mkuu maana Lugha ni DHANA panaKikwetu kwetu tusi hilo "kende"
Kwa simulizi nilizozisikia ni msitu wa maajaabu ambapo watu wamekuwa wakienda huko kuomba shida na haja mbalimbali ...
Kwa simulizi nilizozisikia ni msitu wa maajaabu ambapo watu wamekuwa wakienda huko kuomba shida na haja mbalimbali ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa KUSINI wanaweza kutuelezea zaidi maana nasikia eneo hilo linapatikana katika moja ya mikoa ya kusini
Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Duuuuh hatari hiiSehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu nimesikia unaweza kwenda huko ukatibiwa na mnyama kama simba yani mauza uza ila naskia watu wengi wanaenda huko na kunaoenda hawarudiNgende ni maeneo karibu na sehemu inaitwa Nanjilinji na ni kweli kuna tamaduni za kishirikina sana hivyo kuna waganga wengi sana, na wengi hawataki pesa nyinyi zaidi ya sumni au shilingi kumi mpaka hamsini ya coin
Kwa hiyo Kazi kwako haina tofauti na Gamboshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua mkuuIko kusini mkoa gani mkuu?? ..Maana nahisi mizimu imenisahau.Nataka kwenda huko.