Je Mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?

Je Mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?

pcman

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
742
Reaction score
189
Hali ya hewa ilikuwa kama shwari, lakini hizi kelele na kimbunga na wingu kubadilika vinaashiria mafuriko bado yapo. Mhe. Lowassa amekwisha timkia CHADEMA ili aweze timiza maono aliyonayo juu ya TZ. Je haya mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?
 
Hayazuiliki kwa mkono ndo kwanza yameanza wakiyazuia yatawaangamiza bora wayaelekeze njia
 
Back
Top Bottom