lazima wanafiki wachungulie na kukimbia!Mtoa uzi. Chungulia uone Views wako wangapi na replies wapo wangapi ndiyo ujue hii mada ya kipuuzi sana na ya kijinga km yule fisadi aliyeuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu.
Acha kujichekesha basi. Weka video aliposema huyo udaku wakoha ha ha huniamini?
Acha kuhamisha magoli mkuu, ccm mnawiwa mambo mengi sana kwa Watz... Kumbuka kwamba kama mkulu alivodai katiba si kipaumbele chake, hata SGR na bombardier hazimo kwenye ilani yenu... Kama kawaida ni ukurupukaji tu nje ya bajeti! Miaka 5 itaisha mnaulizana ahadi za Lowassa kama zimetimizwa ili hali serikali na kodi zetu mnazo nyie.... [emoji51][emoji51]Wakati mchakato wa uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM tulishuhudia ndugu Lowasa akiahidi michango mbalimbali mmojawapo ni ule wa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Arusha.
Baada ya kukatwa na CCM na pia kumaliziwa na watanzania ni wazi alikasirika sana.
Juzi juzi tulimuona Kwa mara nyingine akiwa kwenye zile kiki zake alizozizowea yaani misikitini na makanisani...mara hii akijitanabaisha kuws msemaji wa makundi hatari kama vile uamsho.
Swali limenijia je ndugu huyu anayewapenda sana waislamu ametekeleza ahadi yake ya ujenzi wa msikiti au kama kawaida alitumia podium kuuzia sura?
Kukoselewa hamtaki, ila maandamano ya kusifia kila kitu ruksa... Nchi ya kusadikika..Acha kuhamisha magoli mkuu, ccm mnawiwa mambo mengi sana kwa Watz... Kumbuka kwamba kama mkulu alivodai katiba si kipaumbele chake, hata SGR na bombardier hazimo kwenye ilani yenu... Kama kawaida ni ukurupukaji tu nje ya bajeti! Miaka 5 itaisha mnaulizana ahadi za Lowassa kama zimetimizwa ili hali serikali na kodi zetu mnazo nyie.... [emoji51][emoji51]
Maendeleo ya kufuta ajira?Time za akina lowassa zilisha pita kuwa na mvi nyingi kichwani sio busara busara ni kujitafakari mheshimiwa rais wetu piga kazi,hatutaki maneno tunataka maendeleo na tunayaona
soma ilani ya CCM vizuri kwenye mawasiliano uchukuzi na miundo mbinu ndio urudi kuniquote!Acha kuhamisha magoli mkuu, ccm mnawiwa mambo mengi sana kwa Watz... Kumbuka kwamba kama mkulu alivodai katiba si kipaumbele chake, hata SGR na bombardier hazimo kwenye ilani yenu... Kama kawaida ni ukurupukaji tu nje ya bajeti! Miaka 5 itaisha mnaulizana ahadi za Lowassa kama zimetimizwa ili hali serikali na kodi zetu mnazo nyie.... [emoji51][emoji51]
jina lako tu linaonyesha unaupungufu fulani kwenye sehem zakoWakati mchakato wa uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM tulishuhudia ndugu Lowasa akiahidi michango mbalimbali mmojawapo ni ule wa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Arusha.
Baada ya kukatwa na CCM na pia kumaliziwa na watanzania ni wazi alikasirika sana.
Juzi juzi tulimuona Kwa mara nyingine akiwa kwenye zile kiki zake alizozizowea yaani misikitini na makanisani...mara hii akijitanabaisha kuws msemaji wa makundi hatari kama vile uamsho.
Swali limenijia je ndugu huyu anayewapenda sana waislamu ametekeleza ahadi yake ya ujenzi wa msikiti au kama kawaida alitumia podium kuuzia sura?
View attachment 532697 1.Sijajua uhusiano au nadhiri zozote kati ya huyu mtu na huyo mzee wa mvi
2.Wakati akitangaza nia Arusha akiwa bado nambari wani huyu jamaa alimsomea duwa ambayo haijawahi kutokea duniani
3. Kwenye mazishi ya ndesa pesa walikuwa wote pamoja
4. Kwenye hii video ya hatari ya juzi naye huyo jamaa anaonekana kasimama naye kama body guard
5.Je! ndio yeye anamuwekea maneno mdomoni?
6. Je uhusiano wa hawa jamaa umeanza lini na unamaslahi yoyote kwa taifa?
7. Je! kuna kitu huyu mtu anakipata kutoka kwa mzee wa mvi kama ufadhili?
8. Huyu mtu ni nani na anatoka kundi gani?
Nadhani kwenye kampeni alikuwepo pia!Huyiu sheikh anayekuwa maeneo mengi na lowasa ni sheikh katimba ni kiongozi wa wajahidina wale wa uamusho wenye uhusiano na masheikh walio ndani wa uamsho.Huyo na lowasa ni pete na kidole
View attachment 532933
ALIKUWEPO huyo hapo wa kwanza kushotoNadhani kwenye kampeni alikuwepo pia!
tunataka kivuko chetu.. mmekificha wapi?lazima wanafiki wachungulie na kukimbia!
Ni mada ya kuumbua wanafiki!