Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Kila wakili ni msomi hata daktar nae ni msomi
Ila huyu mtoa mada kawajumuisha watanzania woooteeee ni sawa na kusema watu watatu na mmasai mmoja wamepata ajaliajali,means mmasai hayupo kwenye orodha ya hao watu watatu
ni kweli kabisa ila si ni ukweli kuwa lisu mmoja =wabunge wote wa ccm
 
Tundu Lissu Bwege anaisaidia nini nchi hii

Nakumbuka aliwahi kusema " Tanzania Tuna Rais Wa ajabu haijawahi kutokea" Hii sentensi ina maana kubwa sana ukihusianisha na staili yake ya uongozi.
Tundu ni Mtanzania ambaye amekuwa mstari Wa mbele kuwa kama anatabiri yatakayofanywa Siku za usoni na huyu Sizonje na kweli huwa hakosei.

Pia aliwahi kutuambia huyu ni Dictator uchwara, wote wenye uelewa tunaona na kulishuhudia hili

Pongezi kwa Tundu Lissu
 
Hahahahaa aiseee natumaini 2020 ataaminika kwenye chama chake ili agombee urais. Akipata hio chance ntaamini kauli yako hii
ni kweli kabisa ila si ni ukweli kuwa lisu mmoja =wabunge wote wa ccm
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nikifanya hivyo ni sawa na kuwatukana wazazi wangu kwa kunileta duniani pamoja na muumba mbingu na ardhi, nikiwa mweusi,mwafrika,maskini

Asante, proud that you accept who you are.

Sijachapia kweli hapo.
 
Mwanashreria gani nani kamsaidia zaidi ya kugombania tumbo lake
 
Kugombea nafasi yoyote ya uongozi ni haki ya kikatiba mradi tu utimize masharti yaliyowekwa. Hivyo hata kama anajijenga hiyo ni haki yake kikatiba na wewe fanya hivyo
 
CHADEMA msifanye kosa kutomuweka Lissu katika kinyanganyiro cha urais 2020.

Tunahitaji mtu shupavu mwenye kauli na msimamo wa kauli, anayejielewa na kuelewa nchi yake kwa facts and figures. Anabezwa tu na waoga waliolifikisha taifa hili hapa tulipo na wale wanaohofia hatima yao maana maisha yao yako kwenye mikoba ya waheshimiwa!

Anatafutwa na atatafutwa sana na wanafki wanaogawanyika leo baada ya kuzidiana kwenye mapato ya dili zao, ilihali wao ndio wahujum namba moja wa taifa hili.

Tunahitaji mtu anayeweza kuwaambia watanzania nchi yao iko wapi na inakwenda wapi na wakaelewa.

Tunahitaji mtu atakayeweza kuyafukua makaburi yote hata yale yenye mifuniko migumu ya shaba.

Huyu si mwingine bali ni TUNDU LISSU

Hata waliyomzodoa nayo sasa wamekubali kuyafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom