Je lini uliokota hela? Na unakumbuka nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je lini uliokota hela? Na unakumbuka nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbori, Sep 13, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kuokota hela kunaambatana na kumbukumbu nyingi.
  Niliokota Sh. 10 kwa mara ya kwanza nilienda kununulia pipi 2 za machungwa. Mara ya mwisho niliokota 1,000 mwaka 2006, ilikuwa mara yangu ya kwanza kushika niti ya 1,000 mpya.
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,670
  Trophy Points: 280
  mawazo ya kukata tamaa hayo!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  duh, hata sikumbuki mara ya mwisho niliokota hela lini. . .
   
 4. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi leo nimeokota sh100 kwenye daladala, imenisaidia kuongeza nauli.
   
 5. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ninachokumbuka juzi niliona mia 2 kigamboni nikaacha kuiokota
   
Loading...