Je, limbwata lipo?

nasikiaga kuhusu limbwata ila siamin bado
 
pole sana mkuu
 
Nishawahi Lishwa limbwata na kadada ka kazi nikawa nakapenda mpaka kana nipangia mda wa kurudi nyumbani na wakati mwingine nakakuta kametoka guest ya jirani na mwanaume afu kana nifokea kama mtoto huyu ni mjomba wee tangulia nyumbani namsindikiza mjomba wako, nilikaa nae zaidi ya miaka mitatu ilifika wakati ananiambia wewe huwezi kuniacha labda nikuache mwenyewe.

Lakini Mungu ni mwema nilipo mchukia sikuhitaji hata kumuona nikamfukuza siku namtimua akaniambia kuwa yeye aliniloga kwa BABU YAKE WA IGUGUNO SINGIDA ili afanikishe mambo yake Lakini ametokea kunipenda sikumuelewa tena ila nilipitia mateso makali sana na dhuruma ya vitu.

Mungu aniepushe nisije pata mke tapeli kama yule ilifika kipindi ananikosea nalia kama mtoto.

USIOMBE LIMBWATA LA WANYATURU- SINGIDA
 
Hii ya kuita majina mengine katikati ya gem . ilisha nitokea mkuu

Na Mimi pia nilisamehe
 
Shuntama ya nshamba unaambiwa ni kaa la moto na pilipili
 
LIMBWATA ni kitu gani hasa?........ukikolea mahabani?? au ulozi mahabani?? au kufanywa zezeta staarabu na mahububa wako, huku na yeye anachepukia kule....kakutia upofu/ukiziwi.......???? naomba ufafanuzi waelewa....
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…