Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,198
(mods naomba msiunganishe uzi huu na uzi wowote tunataka tujue bei halisi ya bidhaa huko mtahani kama zimepanda au ziko Constant yaani hakuna mfumuko wowote wa bei).
Mkuu wetu leo kwenye Hotuba yake amesema kwamba Amejitahidi kudhibiti mfumuko wa bei ,
Hii ina maana bidhaa huko madukani bei yake ni Constant.
Uzi huu ni maalumu kwa member tutaje bidhaa na bei yake huko mitahani na madukani ili tujue kama kweli hakuna mfumuko wa bei .
Tunapotaja bei ya bidhaa tujitahidi tuweke na bei yake ile ya mwanzo na sasa ili tujue kama imepanda au kushuka. .
Lengo siyo baya bali kuona kama kweli hakuna mfumuko wa bei.
Naanza tu na vitu vichache.
Sabuni ya Unga ile inaitwa Kleesoft mfuko ulikuwa shilingi Elfu 28 alivyoingia ikapanda mpaka elfu 30 juzi kati tena hapa imepanda mpaka shilingi 32500 kwa mkoa wa dodoma sijui kwenu vipi.
Ukija kwenye sukari toka 1800 per kg mpaka sasa 2500 .
Siwezi kumaliza kuvitaja vyote naomba vingine mtaje nyie.