Kabla hatujahoji Mungu atayetajwa na CDM, tujue Mungu:
-wanasali bungeni ni yupi
-tunayeimba kwenye national anthem
-anayetajwa kila mwisho wa hotuba ya rais n.k
Tunajadili jambo lisilotujenga na kutushikamanisha! Sioni tatizo la wafanyacho CDM, maana Mungu anahusika sana na taifa letu
Mbona huyu mungu wa Chadema kakubali Lema kuvuliwa ubunge inanipa tabu kidogo kuleta ulokole kwenye mambo ya siasa.
Sijawahi kupita kwenye issue yoyote inayohusu CDM nikakosa haya maneno yakitajwa....Kama ww sio shetani basi utakua mchawi...i cant believe this!!!!!!,, ninawaombeni hoja za mungu tuziahirishe kwa sababu bado wengine tuna kumbukumbu ya mateso na kifo cha kristu.
Wanataka wananchi wawaonee huruma...hizi njaa ni mbaya sana!
mungu na ufisadi wapi na wapi? Kumbuka wezi, majambazi, mafisadi ndio watoa sadaka wakuu makanisani na misikitini. Unataka kusema na wao hawana mungu?Sikushangai... Wewe si huamini kama mungu yupo vinginevyo mngeacha ufisadi.
Mungu baba mwenyezi alioziumba mbingu na nchi na aliyemuumba Godbless lema ndio Mungu wa CHADEMA.
GOD OF US IS THE OF CHADEMA.
Unamjua "Mungu" wanaomtaja chadema ? unafahamu kuna "Mungu" wengi?
Kwa siku za karibun, Nimekuwa nikifuatilia kwa umakin sana maneno yanayozungumzwa na viongozi wa Chadema kwenye mikutano na kugundua kuwa wamekuwa wakimtaja Mungu mara kwa mara.wanaonekana kutuaminisha kuwa kila wanachofanya wanatumia nguvu za mungu.Mungu hatumiwi kwa namna hiyo.MUNGU ANA MAHALI PAKE PA KUMTAJA TAJA.Itafika wakati mtu akiruhusu kuwa tegemiz sana kwa Mungu hukosa uwezo wa kujituma ktk kufanikisha jambo eti Mungu hajamjalia.Mungu husingiziwa kwa kila dosari au mafanikio.nashauri ktk majukwaa Mungu asitajwe kihivyo na chadema.tuige mfano wa MWALIMU NYERERE alikuwa mhudhuriaji sana ibada lakini ktk majukwaa ya kisiasa hakumtaja Mungu.
Hoja mfu!Kwa siku za karibun, Nimekuwa nikifuatilia kwa umakin sana maneno yanayozungumzwa na viongozi wa Chadema kwenye mikutano na kugundua kuwa wamekuwa wakimtaja Mungu mara kwa mara.wanaonekana kutuaminisha kuwa kila wanachofanya wanatumia nguvu za mungu.Mungu hatumiwi kwa namna hiyo.MUNGU ANA MAHALI PAKE PA KUMTAJA TAJA.Itafika wakati mtu akiruhusu kuwa tegemiz sana kwa Mungu hukosa uwezo wa kujituma ktk kufanikisha jambo eti Mungu hajamjalia.Mungu husingiziwa kwa kila dosari au mafanikio.nashauri ktk majukwaa Mungu asitajwe kihivyo na chadema.tuige mfano wa MWALIMU NYERERE alikuwa mhudhuriaji sana ibada lakini ktk majukwaa ya kisiasa hakumtaja Mungu.
Mungu ni kichaka cha wazembe na wanaotaka ku manipulate wenzao.