KUMBUKA Siasa na Dini ni vitu viwili MBALIMBALI... havitakiwa kuwa PAMOJA...
Kwanini unataka DINI na SIASA ziwe pamoja ??? Nchi yenye Demokrasia ya kweli inatenganisha Masuala hayo
Labda kama wewe Unapenda kuishi IRAN au SAUD ARABIA...
ok, unazijua amri 10 za mungu! Ni ipi haivunjwi na chadema hasa viongozi wenu? Mwenyezi mungu hachezewi wala hataniwi kama mnavyofanya! Hiyo ni sawa na dhihaka.
Mungu Wa ChagaDeMa ni Sheitwani laana tulaah ambaye anahimiza uzinzi, uasherati, matusi, ukabila, ukanda na udini kwa viongozi Wao na misukule Yao yooooooooooote popote pale walipo!
Mungu wa Chadema ni Mzee Edwin Mtei, muasisi wa CHADEMA. Ndo maana wanasema kuwa wanaanza na Mungu na wanamaliza na Mungu maana yake ni kuwa kila wafanyalo lazima wapate baraka za Mtei na wakishakamilisha, sharti warudi kwa Mtei kumuelewa utekelezaji wake
Huwezi tenganisha Dini na Siasa maana dini inakufundisha uishije katika maisha ya kila siku, yaani inakwambie usiseme uongo, usizini, na mengine mengi. Nabii Selemani, Daud na wengine walikuwa viomgozi wa nchi na dini. We tofautisha kwa maslahi yako.

Mungu si mwanasiasa
teh teh
AMRI 10 za Mungu:
1.Ndimi bwana mungu wako usiabudu miungu wengine-SLAA kaasi na kuacha kumuabudu Mungu
2.Usilitaje bure jina Bwana MUNGU wako- wimbo wa MBOWE ni Haki ya Mungu
3.Shika kitakatifu siku ya Mungu-SLAA anakwenda Kanisani tena baada ya kacha Upadre?
4. Waheshimu Baba na Mama yako upate miaka mingi na heri duniani-Nakumbuka SLAA ana skendo ya kumkana baba yake
5.Usiue-CHACHA WANGWE, REGIA MTEMA, Mauaji ya IGUNGA, MOROGORO, IRINGA
6. Usizini-SLAA vs Mshumbuzi. MBOWE vs JOYCE MUKYA/ESTER MATIKO
7.Usiibe-Mzee wa DIVD za ngono
8.Usiseme uongo-SLAA CHADEMA inahitaji mwaka mmoja kuifanya Tanzania nchi ya viwanda
9.Usitamani Mwanamke asiye mke wako-SLAA, MBOWE
10. Usitamani Mali ya MTU mwingine-hapo nikumbusheni nimesahau
Dini is not=siasa. Ndio maana serikali haina dini, na ndio maana kampeni haziruhusiwi makanisani au misikitini. Zile sala za kuombea viongozi co siasa. CHADEMA ACHENI KUDHIHAKI MUNGU kwahiyo kauli mnayoitumia. Kama ni mtei au mbowe bora mtaje kabisa.
okay, Dr.Slaa na Sugu walitukana mkutano gani? Kwa record watu walotukana mikutanoni wanajurikana!
Alaf wana mtu ana jiita mchungaji kwa matamshi na kauli zake unaweza fikiri ni ana chunga matusiKauli hiyo hiyo ya kwamba "walianza na mungu na watamaliza na mungu" ndiyo inayosababisha wanakumbwa na mikasa kwenye mikutano yao kwa sababu siyo wasafi hata kidogo. Wanakufuru kusema hivyo na Mungu huwamua kuwaadhibu. Uongo, ufuska, Matusi na ubadilifu ni kama chai ya asubuhi ndani ya CDM. Mungu bwana hakopeshi.
... Ni mungu yupi mnaemtaja? ...
Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
Mpango wa MUNGU kwa sababu, kimejaa Mapdre na wachungaji?