ukiona hivi ujue watu wameshachoka uongozi uliopo madarakani, hii ndio saikolojia ya binadamu, huwa anapenda mabadiliko hata kama sio kutoka kwenye kibaya kwenda kwenye kizuri. hata marekani huwa wanabadilisha vyama tawala kwa kila baada ya vipindi viwili, hata kama mgombea ni mzuri, Kenya walimkataa Uhuru Kenyata lakini baada ya vipindi viwili vya utawala kupita wamemkubali, Hata Libya wananchi waliunga mkono waasi kuiondoa madarakani serekali iliyokuwa inawajali wananchi wake kuliko serikali yoyote iliyowahi kuwepo ulimwenguni.Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Natumai hamjambo wadau wa siasa na wazalendo halisi wa nchi Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita,hususani siasa za ccm,cuf,chadema,na nccr mageuzi.Moja ya mambo yanayonipa wakati mgumu,ni ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza hata ile kibinadamu,mifano hii hapa,CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa,ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine.Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!Bomu la arusha wamekana!Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa?ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Hii.Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii tangu nikiwa chuo kikuu miaka michache iliyopita
ubishi uliopindukia kwa viongozi,na wafuasi wa chadema dhidi ya vyama vingine!Sijawahi kuona CDM wakikubali makosa,au kuteleza
CHADEMA wamechangisha wafuasi na wahisani ili kuwezesha M4C,hela wamekula,ila ukiwauliza wanakataa,ziko wapi?
Wamekuwa wakifanya mihadhara hata wakizuiwa
ila wao wanalazimisha na kuwacost wengine
Report ya jukwaa la wahariri,ambalo si la chama,limewatuhumu kumtesa kibanda,wao wanakataa,na ni vinara wa kuomba tume huru kila mahali,sijui wanatakaje.Lwakatare kashutumiwa ugaidi,lawama kwa Nchemba.Lema jambazi,No!
Dr.Slaa kakopa hela nyingi,hapana!
Bomu la arusha wamekana!
Ila kila wanachosema wao,ndio ukweli,Sasa ninyi ni watu gani msiofanya makosa? ni wakamilifu kiasi?Au chama chenu kimetoka MBINGUNI!?
Ukiona tu tusi,au jibu la mkato,ujue aliyeandika ni CHADEMA,na ndio wanataka wapewe nchi,sasa c porno zitaharalishwa?wewe unaesema hakuna hoja,thats according to you,hebu weka wewe huja sasa tupime!Asanten kwa wote mliotukana,siyo kosa lenu,bali ni sumu mlomezeshwa na itaendelea kuwaua.
Adrian Moller
Nasikitikatika umeweka mbele upenzi na kuweka ufaham wako mfukoni.
Mkuu usinifanye niamini kwamba elimu yetu sasa imeshuka kiasi hiki.
a) Unaongea kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu? kama ndiyo ufahamu wako katika kuchanganua mambo umeishia hapa Taifa lipo katika hatari kubwa.
b) Unaongea kwa ushabiki? kama ndiyo basi hufai maana ushabiki mara nyingi huishia kwenye utetezi wa kitapeli na uwongo na hapa utakuwa umehifadhi akili zako mfukoni nakujifanya hamnazo.
kwa kutumia elimu yako ya chuo kikuu, hebu tufanyie uungwana nikatika lipi chadema wameteleza na walipaswa kuomba msamaha kwa uma? katika majibu yako hakikisha unabalace kwa kila kosa utaloliweka la chadema ccm wamefanikiwa vipi (Note, chadema hawamiliki dola wala kukusanya kodi-Zingantia katika mjadala wako)
Je wewe ni mmoja wa wanamipango ndani ya chadema?
Ilkuweka shauli lako vizuri weka mchanganuo wa mapato ya chadema yote na ya ya ccm yote kuanzia misaasada na ruzuku kama vyama vya siasa. Changanua mipango na matumizi kwa kila chama ilituamini kutoka uchanuzi wako kwamba CCM ni bora katika makusanyo na matumizi dhidi ya chadema.
Siku ya tukio la kifo cha mwangosi wakati chadema wanafanya mikutano yao iringa, CCM walikuwa na mkutano mkubwa sana zanzibar chini ya Ghalib Bilal. Mikutano ya chadema ilizuwiwa kwa kisingizio cha sensa.
a) Kwanini chadema walizuiwa na ccm wakaendelea jadili kama msomi tukio hili kwa uwiano wa haki kwa kila chama
b) Je kulikuwa na tishio lolote kiasi kwamba unadhani ilikuwa lazima chadema kuzuwia mikutano yao, jadili......
hapa ndipo unaponihuzunisha na kunitia aibu kwamba msomi wa chuo kikuu
a) kwa mauwaji ya mwangosi tishio ilikuwa nini na nani aliuwa?
b) Kwa tukio la bom juzi arusha, wakaazi wa arusha waliadhibiwa kwa tishio gani hasa? nani alikuwa muwaji?
c) Je ni haki na halali kuwazuia watu kuaga marehemu? nakunakifungu gani cha katiba kwamba mtanzania-mwanasiasa, mkulima, masaani nk akifa tunatakiwa kuwa na kibali cha mkusaanayiko?
a) Report ya jukwa la siasa imejitoshereza? kama ndiyo kwanini hawaendi mahakamani? umewahi kujiuliza hili swali?
b) Wanaomba tume huru iundwe nani (JM Kikwete) umeshawahi jiuliza kwanini kikwete anakwepa kuunda tume huru?
c) Lwakatale hana kesi ya ugaidi ni mbumbumbu wa elimu kama wewe mnaotuchafulia sifa ya vyuo vyetu vikuu kwa uelewa wa ovyo kama kwa chagonja.
d) Nchemba anashutumiwa na kutuhumiwa kwasababu ndiye source ya kila jambo kuhusiana na hiyo video uchwara, Je umejiuliza kwanini Polisi wanamzunguuka wala hawamhoji?
e) wewe wasema Lema jambazi lakini, umeshawahi kulipoti polisi na kuwapa ushahidi au ni ujinga wa fikra msomi
wangu?
a) Neno kukopa linamaanisha amepewa kihalali (usomi wako wa ovyo kwelikweli) amefuata taratibu kapewa tatizo lako ni umbeya na kukubali kutumika kumchafua huyu Dr.
Huu ndiyo naita ujinga, kama unaushahidi peleka polisi kuna million 100. Huoni unajiaibisha kujiita msomi wa chuo kikuu?
Hakuna aliye mkamilifu ila mungu mwenyewe, kwetu wanadamu kinachoangaliwa ni ukubwa wa makosa, mara ngapi, kwanini na kivipi tukilinganisha na pande zingine zenye mwelekeo na malengo yanayofanana. Makosa yaliyo/yaanayofanywa na ccm ni makubwa na yanatisha hivyo kufanya vijimakosa vidogovidogo kwa vyama vingine kuwa negligible/ insignificant.
Kwenye uwongo,uraghai,wizi & utapeli Mungu hujitenga ila shetani huchangamkia sana kwa sura ya kimungu.
Hii kauli Chadema wanayoitumia inabidi waibadilishe '' Tumeaza na Mungu na tutamaliza na Mungu'' kwani haina ukweli au kama ni kweli basi kuna walakini. :yell::kev: