Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Pengine ni kutofahamu ningeomba kusaidiwa kujua hili, hata binadamu utoke kuoga dakika 5 tu zikapita, kidole chako ukatumbukiza katikati ya makalio makalio harufu itakayo toka huko hutaamini kama ndiyo umetoka kusugua sehemu hizo.
Kwa wataalam naomba kujua hapa pana mechanism gani huku nyuma hakukosi harufu ya haja kubwa hata upulizie marashi?
Kwa wataalam naomba kujua hapa pana mechanism gani huku nyuma hakukosi harufu ya haja kubwa hata upulizie marashi?
Last edited by a moderator: