Aisee hao viumbe wanakuwaga wazuri sana,bado sijajua kuwa Bubu kwa upande wa wanawake kuna uhusiano gani na uzuri.
Mi ni mmoja wa watu ambao nilitokewa kuzoeana Binti mmoja ambaye alikuwa Bubu,kiukweli alikuwa mzuri sana -napo sema mzuri namaanisha,alikuwa rafiki yangu sana mpaka alikuwa anakuja nyumbani kumsaidia mom kazi za hapa na pale,kiukweli alinipenda sana na mimi pia nilimpenda lakini shida ilikuwa ni lugha,Alikuwa akija nyumbani asiponikuta mama alikuwa ananiambia alikuwa analia sana!!,Sikujua sababu zilizokuwa zinapelekea yeye kulia lakini mama aliniambia mwenzio atakuwa anakupenda,ukiondoa uzuri wake mimi nilipata shida sana namna ya kuwasiliana nae,hilo tu ndo lilikuwa tatizo langu!
Namshukuru Mungu tulipokuwa marafiki kwa muda kama mwaka hivi nilianza kuelewa namna bora ya kuwasiliana nae na mpaka leo mimi ni mtaalamu wa lugha za alama japo sikusomea lakini nkikutana na jamii za watu hao (Mabubu)basi huwa hawanipi taabu sana!
Sasa kuna siku kaja geto ilikuwa kipindi cha masika,mvua ilikuwa ikinyesha sana siku hiyo,duuu asikwambie mtu yule mtoto (Happy)alikuwa na mshepu halafu alikuwa mrefu na mweusi(cheusi mangala),jamani nyie acheni,raia wengi walishajipiga kurusha voko lakini wapi!,mpaka leo sijajua yule mtoto alinipendea nini!,nahisi lilikuwa zari tu kwa maana ndo muda nilikuwa nimemaliza chuo so nipo tu maskani nakula msosi wa wazazi!,sasa ndugu zanguni mle chumbani tulibaki kutizamana tu na kuongea kwa ishara,kilichokuwa kikiniwazisha ni je nikianza kumshika akapiga kelele si itakuwa noma?,maana namna ambavyo alikuwa aongei halafu akapiga kelele(sauti) si itakuwa noma?,Maana niliwahi kusikia maneno kwamba ukisimama mahakamani na Bubu kwa mashitaka huwezi kushinda,hiki ndo kilikuwa kikiniumiza akili!
Basi Mungu si athumani kama wasemavyo waswahili,nilimshika mkono nkauweka kifuani mwangu upande wa kushoto unapokaa moyo- Hiyo ilikuwa ni ishara ya kwamba nampenda,na yeye alifanya kama mimi,kwahiyo kuanzia hapo tukaanza sarakasi japo alikuwa muoga kupindukia,lakini hatimaye mrume nikajilia mtoto mzuri Happy,asikwambie mtu!toka nilipozaliwa mpaka leo sijawahi kukutukana na mwanamke mtamu kama Happy,labda atatokea lakini bado sijaona walahi!
Daaah! Sitaisahau siku hiyo!,kiukweli mtaani nilikuwa natembea nae na kuvimba kwa maana alikuwa na sifa zote za kuitwa mwanamke!,Mama yake alikuwa msukuma lakini Baba yake nasikia alikuwa mtu wa Rwanda lakini alishafariki,alikuwa na wadogo zake walikuwa wazuri hatari!
Nilimpenda sana Happy wangu lakini nilipokuja mjini nasikia Alilia sana na mama yake ili kumuepusha na ile hali ya upweke niliwasiliana na mdogo wake mmoja ambaye pia kwasasa yupo hapa town aliniambia kuna shangazi yake kutoka Rwanda alienda kumchukua,shida inakuja hata simu ukipiga hawezi kuzungumza,hicho ndicho kikwazo!,Mara nyingi nikiongea na shangazi yake anasema huwa akimwambia kwa lugha za ishara anafoka sana na kulalamika,shangazi yake anasema nilimkimbia hivyo hataki kuniona,Kiukweli Happy ungekuwa unazungumza mama,wala sikukimbia sema niliitwa kwenye interview na kampuni fulani ya simu japo sikufanikiwa lakini ilibdi nibaki mjini kuendeleza mitikasi!
Ni muda sana takribani miaka 3 sina mawasiliano na ndugu zake so sijajua anaendeleaje my Beautiful Happy!