Je kwa ufaulu huu naweza soma Engineering?

Unaweza kusoma ...Ila kama o level ulisoma physics itakufanyia wepesi zaidi.....kuna course za basic engineering first year zinahusisha physics kama ( Engineering physics) ....ila kama Advanced mathematics uliweza hata physics haiwezi kukupa tabu...unaweza kusoma tu
 
Sawa Mkuu, Shukurani.

Barikiwa
 
Back
Top Bottom