Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Atajua yeyeNi mwanafunzi wa Shule ya msingi ujue huyo anayepimwa
Atajua yeyeNi mwanafunzi wa Shule ya msingi ujue huyo anayepimwa
Kama ni ujauzito ya chini ya miezi miwili, mbona anaweza kuilkamilisha hiyo semister, kikukubwa usimuharrass, tunajielewa akili zetu sie, mmbembeleze mpe mahitaji , amalize semister yake..then attaandika barua ya kuomba postponeAmeshamaliza semister Moja anaanza ya pili wiki ijayo hapo anaweza famyaje mkuu
Hukulijua hilo wakati unafanya ngono zembe???Ole wako uitoe hiyo mimba kijana!!!Dah sio poa mkuu Yani bado Yuko chuo alaf anaishi kwao Yan kichwa kinapata moto