Nani kasema dhambi? au nani kasema si dhambi? nasubir kujifunzaWakuu Salaam.
Naamini mko salama, na kwa wale mliopata nafasi ya kuhudhuria ibada ni matumaini yangu mmekuwa na ibada njema.
Moja kwa moja kwenye swali langu, Je! Kuvuta sigara ni dhambi?
Naomba ku - declare interest kuwa binafsi si mvutaji wa sigara na sina mpango wa kuwa mtumiaji, lengo la uzi huu ni kutaka kuongeza ufahamu na uelewa.
Kwa muda nimekua nikisikia watu mbalimbali wanapokuwa wakitoa hotuba za mahubiri na hata leo nimelisikia tena waki-categories uvutaji wa sigara kama mojawapo ya dhambi, ingawa ni kweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya lakini Biblia haitaji wazi kuwa uvutaji wa sigara ni dhambi kama ilivyotaja wazi kwa mfano uzinzi, uasherati, wizi, ufisadi, ufiraji nk nk nk kuwa ni dhambi na viko vifungu ktk Biblia vinaeleza hilo kwa uwazi kabisa.
Naomba kwa wataalamu wa maandiko walioko humu wanisaidie kufahamu ni sehemu gani ktk Biblia imeandikwa uvutaji wa sigara ni dhambi au hawa wanao - categories uvutaji wa sigara kama mojawapo ya dhambi wanatumia maandiko yapi na kwa nini.
Thanks in advance kwa elimu nitakayoipata hapa.
Uvutaji wa Sigara ni Dhambi kwakuwa.
1. Ni madawa ya kulevya
2. Haina faida yoyote kwa afya ya mwili wako.
3. Ina haribu Afya ya mwili wako uliotengenezwa kwa thamani kubwa sana.
4. Ina haribu Afya ya walio jirani yako.
5. Ina (adiction) inayokupelekea kudhohofisha akili yako ifikirie kuvuta sigara badala yawaza mambo ya maana.
6. Unakupotezea muda na kipato chako bila faida yoyote.
7. Ni Sumu kali unayokudhohofisha siku hadi siku, maisha ya wavuta sigara ni mafupi.
8. Inasababisha kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama TB na Kansa
9. Inashawishi wengine kuiga tabia ya uvutaji ambayo haina faida yoyote.
10, Inakuchafua kwa harufu mbaya, uchafu na kuwa kero kwa mkeo na watu wa karibu yako.
NAKADHALIKA.
Binafsi sivuti feg ila napenda harufu yake, nadhan ungeifuta namba 10, kisha watu wa dini tusome biblia kitabu cha Mwanzo 1 kuna mistari inahalalisha matumizi ya majani kama dawa na matunda kama chakula na chakula cha kila mnyama.Uvutaji wa Sigara ni Dhambi kwakuwa.
1. Ni madawa ya kulevya
2. Haina faida yoyote kwa afya ya mwili wako.
3. Ina haribu Afya ya mwili wako uliotengenezwa kwa thamani kubwa sana.
4. Ina haribu Afya ya walio jirani yako.
5. Ina (adiction) inayokupelekea kudhohofisha akili yako ifikirie kuvuta sigara badala yawaza mambo ya maana.
6. Unakupotezea muda na kipato chako bila faida yoyote.
7. Ni Sumu kali unayokudhohofisha siku hadi siku, maisha ya wavuta sigara ni mafupi.
8. Inasababisha kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama TB na Kansa
9. Inashawishi wengine kuiga tabia ya uvutaji ambayo haina faida yoyote.
10, Inakuchafua kwa harufu mbaya, uchafu na kuwa kero kwa mkeo na watu wa karibu yako.
NAKADHALIKA.
Dhambi niDhambi ni nini?
Weka reference badala ya hisia. Tupe mistari.Dhambi ni
1. Kufanya jambo lisilompendeza Mwenyezi Mungu.
2.Kufanya jambo ambalo lina hatarisha hali yako au ya jirani yako.
Yaani jambo lisilokupendeza wewe au Jirani yako.
Shaka -Zulu heshima yako mkuu, kwa uelewa wangu sigara katika uislamu si dhambi bali makuruhu (yaani ni kama kero kwako na kwa Wengine), makuruhu ikizidi hua ni dhambi,Kwa sisi waislamu, uvutaji sigara ni haramu, kwa hiyo ni dhambi, ingawa watu watajitokeza kupinga. Ni tabia mbaya sana ambayo inachafua mazingira na ni ishara ya maporomoko ya maadili. Karibu kote duniani, uvutaji sigara hadharani imepigwa marufuku. Nairobi wavutaji sigara wametengewa maeneo maalum vya kuvuta sigara, kuvuta barabarani ni kosa! Hapa kwetu mbona bado haijapigwa marufuku?
Reference ni Biblia,Weka reference badala ya hisia. Tupe mistari.
Haya ni mawazo yako tunayaheshimu ata soda aifai kiafya mkuu nayo ni dhambi?Uvutaji wa Sigara ni Dhambi kwakuwa.
1. Ni madawa ya kulevya
2. Haina faida yoyote kwa afya ya mwili wako.
3. Ina haribu Afya ya mwili wako uliotengenezwa kwa thamani kubwa sana.
4. Ina haribu Afya ya walio jirani yako.
5. Ina (adiction) inayokupelekea kudhohofisha akili yako ifikirie kuvuta sigara badala yawaza mambo ya maana.
6. Unakupotezea muda na kipato chako bila faida yoyote.
7. Ni Sumu kali unayokudhohofisha siku hadi siku, maisha ya wavuta sigara ni mafupi.
8. Inasababisha kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama TB na Kansa
9. Inashawishi wengine kuiga tabia ya uvutaji ambayo haina faida yoyote.
10, Inakuchafua kwa harufu mbaya, uchafu na kuwa kero kwa mkeo na watu wa karibu yako.
NAKADHALIKA.
Dhambi haigopwi, ila inaachwa kufanywa, kwa maslahi yako au ya jirani yako.Unaogopa dhambi mkuu?
Kama umejua kitu flani hakifai na ukakitumia hiyo ni dhambi mkuu.Haya ni mawazo yako tunayaheshimu ata soda aifai kiafya mkuu nayo ni dhambi?
Computer ina madhara, simu ina madhara unalijua hilo, je nikikujulisha utaacha kutumia mkuu? au tunayapima madhara kwa kipimo gani mkuu?Kama umejua kitu flani hakifai na ukakitumia hiyo ni dhambi mkuu.
Shaka -Zulu heshima yako mkuu, kwa uelewa wangu sigara katika uislamu si dhambi bali makuruhu (yaani ni kama kero kwako na kwa Wengine), makuruhu ikizidi hua ni dhambi,
Kama una dalili basi leta (dalili mfano hadithi, aya, kisa n.k )
Nipo radhi kukosolewa
Mkuu naomba nitofautiane na wewe. Kati Uislam sigara haipo kwenye uharamu. Sigara ipo kwenye MAKRUHUKwa sisi waislamu, uvutaji sigara ni haramu, kwa hiyo ni dhambi, ingawa watu watajitokeza kupinga. Ni tabia mbaya sana ambayo inachafua mazingira na ni ishara ya maporomoko ya maadili. Karibu kote duniani, uvutaji sigara hadharani imepigwa marufuku. Nairobi wavutaji sigara wametengewa maeneo maalum vya kuvuta sigara, kuvuta barabarani ni kosa! Hapa kwetu mbona bado haijapigwa marufuku?