mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,282
Kwa wajuzi wa IT nuliza je kutumia simu kama modem(tethering) kwenye computer,je ukiweka bundle inaisha haraka au la ?najua ukitumia simu kama modem unapotumia muda wa kawaida huisha haraka kuliko ukiweka muda wa kawaida kwenye modem.
kwa mfano kama simu ina muda wa sh 3000 ukitumia simu yako kama modem,muda utaisha haraka kuliko kama umeweka shs 3000 kwenye modem na ukatumia kwenye computer yako.
kwa mfano kama simu ina muda wa sh 3000 ukitumia simu yako kama modem,muda utaisha haraka kuliko kama umeweka shs 3000 kwenye modem na ukatumia kwenye computer yako.