issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,781
- 5,205
Adhabu hutolewa kwa kufuata vifungu vya sheria, hapo mtatumia kifungu gani cha sheria?Kwa nidhamu ya utawala na usimamizi wa mambo huu ni utovu wa adabu. Waaofanya hivi kwa haki kabisa wanatakiwa kuadhibiwa.
Watu ifikie kipindi wawe wanavaa hivi viatu, na mfano mwepesi wewe kama unafamilia halafu atokee mtu katika familia aisemee mee tu familia yako bila utaratibu maalumu, utajisikiaje au utafanyaje ?
Watu sijui huu ujinga wanautoa wapi ? Waache kuleta harakati kwenye maslahi ya wengi, wapeleke harakati zao katika majumba yao waone kama zitaleta natija.