Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,941
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na hizo ulizosoma si hadithi za kuungaunga tu ulizoandikiwa na watu tu?Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Inaonekana wewe ni mvivu kusali au suoWanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Kama hivyo ndivyo ilivyo basi vilivyotokana na kujiongeza ni vingi sana na huenda tumeishatoka kwenye ukweliKila kitu kingeandikwa kwenye biblia ingekuwa kubwa sana.
Wewe ulipozaliwa hakuna mtu alikwambia ulie au unyonye lakini automatic ukajiongeza.
Jiongeze.
Ndugu yangu Biblia sio kitabu cha tamthilia au newspaper na kama ivyo ndivyo unavyosoma ningumu kuielewa.Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Ahahahahhahahhahaha ili swali ulichokiUnaweza kuthibitisha Mungu yupo na hizo ulizosoma si hadithi za kuungaunga tu ulizoandikiwa na watu tu?
Lengo asilia la kuumbwa binadamu ni KUTAWALA ndugu yanguWanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
Haah! Haah!Lengo la Mungu kutuumba sisi halijulikani na halitokaa lijulikane. Lengo la yeye kutuumba analijua yeye.
Kuna mtu aliwahi kuandika humj kwa kutolea mfano wa mkulima na mmea wa karanga. Mkulima akipanda karanga yeye ndiye anayejua ni kwa nini amepanda karanga lakini ule mmea wa karanga hauwezi jua chochote hadi unanyauka. Ubongo wako umekuwa programed kuelewa vitu kwa ukomo. Hilo unalotaka kulifahamu wewe liko nje ya uwezo wako. Hayo mengine sijui kufanya kazi sijui kumuabudu ni sisi kujipendekeza kwetu tu.
Wewe ishi tu mzee baba.
we nawe....kama huamini Mungu yupo kaa pembeni sio kila sku kuharibu nyuzi za watuUnaweza kuthibitisha Mungu yupo na hizo ulizosoma si hadithi za kuungaunga tu ulizoandikiwa na watu tu?
Wee ni Mkurya wa wapi?Wanajamvi habarini wote.
Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza.
Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu.
Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani aitunze but kitu kinachonitatiza sikuona mahara ambapo mungu anamuagiza kuwa adamu amuabudu. Sijajua kwa vitabu vingine kutoka imani tofauti kuhusu uumbaji wa mungu.
NAHITAJI KUELIMISHWA
KwasababuWanajamvi habarini wote.

Siwezi kulichoka mpaka lipate jibu la kueleweka.Ahahahahhahahhahaha ili swali ulichoki
Nikae pembeni kwa kumuogopa nani?we nawe....kama huamini Mungu yupo kaa pembeni sio kila sku kuharibu nyuzi za watuna kiswali hicho hicho miaka nenda miaka rudi...
Achen propaganda jibu swali kama lilivyo ulizwa sio "kila kitu kingeandikwa kwenye biblia ingekuwa kubwa". Ili jibu waga la kukwepa kuhojiwa tu.. Ni bora ingekua kubwa kwa ukubwa wake ili maswali ya siwepo basi. Hivi unataka niambia kitabu cha wimbo uliobora kinasamani sana kuwepo kuliko kitabu cha maisha ya yesu?Kila kitu kingeandikwa kwenye biblia ingekuwa kubwa sana.
Wewe ulipozaliwa hakuna mtu alikwambia ulie au unyonye lakini automatic ukajiongeza.
Jiongeze.
hahaha hahaa....Lengo la Mungu kutuumba sisi halijulikani na halitokaa lijulikane. Lengo la yeye kutuumba analijua yeye.