Je kusingefanyika maamuzi haya 5 Dunia ingekuwaje sasa hivi?

Je kusingefanyika maamuzi haya 5 Dunia ingekuwaje sasa hivi?

Nasubiria sehemu ya pili maelezo yako. Kazi nzuri[emoji119] [emoji119]
 
Kumbe na CIA kuna Mission wanashindwa?🙁



Operation Acoustic Kitty: How the CIA's attempt to turn CATS into cyborg spies ended abruptly after the cat was run over by a cab
By Snejana Farberov

PUBLISHED: 02:24 BST, 9 May 2013 | UPDATED: 17:30 BST, 9 May 2013

article-2321693-19B03E2C000005DC-481_306x423.jpg

Agent Pussycat: in the 1960s, the CIA developed a top-secret project meant to turn a cat into a cyborg spy

Next time your cat sidles up to you for an afternoon nap, it may actually be trying to steal your secrets - that is at least what the CIA in the 1960s was hoping felines would do after being turned into four-legged spies.

As part of a clandestine experiment appropriately dubbed Operation Acoustic Kitty, a veterinary surgeon implanted a microchip in the ear canal of a cat and a small radio transmitter at the base of the animal's skull, hiding a wire antenna in his long grey-and-white hair.

The plan was to use the furry feline as a four-legged secret agent who would be able to discreetly eavesdrop on Soviet officials and record their private conversations simply by sitting nearby.

But the leaders of the project quickly learned what neatly every cat owner knows: unlike dogs, most felines do not follow orders and are not easily trained.

The failed experiment is detailed in a new book called Frankenstein’s Cat: Cuddling Up to Biotech's Brave New Beasts, excepts from which appeared in Popular Science.

The author, Emily Anthes, writes that CIA officials got the project off the background by driving their newly minted furry James Bond to a park and tasked it with recording a conversation between two men sitting on a bench.


article-2321693-19B044FF000005DC-802_634x439.jpg

Operation Acoustic Kitty: A surgeon implanted a microchip in the ear canal of a cat and a small radio transmitter at the base of the animal's skull, hiding a wire antenna into his long grey-and-white hair

But the ill-fated feline immediately failed the test by running into the street, where it was promptly run over by a cab.

In the aftermath of the disastrous experiment, Operation Acoustic Kitty was scrapped after the government had allegedly spent $20million to turn the tragic pussycat into a world-class information gatherer.

article-2321693-19B03E17000005DC-665_306x423.jpg

Truth reveled: Emily Anthes writes about the disastrous experiment that ended with the cat getting run over by a cab in her new book, Frankenstein's Cat: Cuddling Up to Biotech's Brave New World

In a heavily redacted 'post-mortem' summing up the botched effort, those involved in the costly operation wrote that ‘the program would not lend itself in a practical sense to our highly specialized needs.'

In a 2001 interview with The Telegraph cited by The Atlantic, a former CIA agent further elaborated on the cat-bot debacle, offering gristly details of the operation.

‘They slit the cat open, put batteries in him, wired him up. The tail was used as an antenna. They made a monstrosity,’ he told the paper.



Read more: 'They made a monstrosity': How the CIA tried and failed to turn CATS into cyborg spies in Operation Acoustic Kitty that ended in disaster | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Hivi hua inakuaje mtu anaandika kiswahili akichanganya na kingereza?ni kwamba anashindwa kiswahili sanifu?au anataka kuonekana msomi?au ndo mfumo wa kieleimu wa kiulaya na tungekaa na mambo yale yale ya dhama zetu?
 
Uongozi ni hulka,hekima na busara ni jambo la msingi lakuzingatia.. hata kama wangefanya maamuzi ya kulipua hapo cuba hio ni sawa na kupiga mkoa hlf bado nchi(russia) yenyewe. laiti kennedy angekubali kupiga he he he Loading...
 
Hivi hua inakuaje mtu anaandika kiswahili akichanganya na kingereza?ni kwamba anashindwa kiswahili sanifu?au anataka kuonekana msomi?au ndo mfumo wa kieleimu wa kiulaya na tungekaa na mambo yale yale ya dhama zetu?
Sababu za code switching na code mixing.
1.prestige.
2.upungufu wa vocubularies.
3.Clarification.
 
Mimi nadhani hiyo simu ilipigwa na CIA operative aliekuwepo CUBA ili kumtisha Kennedy na hatimaye kuachana na mpango ovu wa Mkuu wa Jeshi la Anga.
 
Tusjifunze kwenda kwenye points. Mambo ya neurons yanaingiaje kwenye hii story?
 
Uongozi ni hulka,hekima na busara ni jambo la msingi lakuzingatia.. hata kama wangefanya maamuzi ya kulipua hapo cuba hio ni sawa na kupiga mkoa hlf bado nchi(russia) yenyewe. laiti kennedy angekubali kupiga he he he Loading...
Yaani angetolewa kamasi mapema tu. Ndio maana hadi leo anambwekea bwekea.
 
Mkuu muendelezo utakuja but si kwa thread hii kwani maamuzi mengine yanahusu nchi zingine si US tu na kama tukiweka hapa tutawachosha wasomaji kwa urefu wa thread .
Asante mkuu izzo kwa udadavuzi mzuri juu ya uamuzi mzuri uliofikiwa na J F Kennedy kuepusha vita vya nyukria kwa miaka ile. Swali huwa ninalojiuliza kwanini njia za kidiplomasia huwa zinatumika pale wanapoona na wao wataathirika na mapigano wanayotaka kuanzisha.?
Tukiangalia historia kidogo walimpiga Milosevic, Sadam Husein na Moumar Gaddafi kwasababu walijua hawana uwezo wa kurudisha mashambulizi ya nguvu nje ya bettle ground.
Kwanini tusiwe na njia moja tu nayo ni diplomasia katika kutatua matatizo na migongano duniani.?
 
Asante mkuu izzo kwa udadavuzi mzuri juu ya uamuzi mzuri uliofikiwa na J F Kennedy kuepusha vita vya nyukria kwa miaka ile. Swali huwa ninalojiuliza kwanini njia za kidiplomasia huwa zinatumika pale wanapoona na wao wataathirika na mapigano wanayotaka kuanzisha.?
Tukiangalia historia kidogo walimpiga Milosevic, Sadam Husein na Moumar Gaddafi kwasababu walijua hawana uwezo wa kurudisha mashambulizi ya nguvu nje ya bettle ground.
Kwanini tusiwe na njia moja tu nayo ni diplomasia katika kutatua matatizo na migongano duniani.?
Mkuu Duniani kuna jamii nne za binadamu
1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)

Katika jamii zote jamii ya Caucasian ndio jamii ambayo ninaweza kusema ndio inatawala Dunia kwenye nyaja ya maamuzi mbalimbali ya kidunia pamoja na kutawala, katika nyaja ya kiuchumi,kisiasa na kimaamuzi unaweza kuuliza kwa nini sijaweka maendeleo jibu ni kuwa Maendeleo yameshahama Ulaya na Marekani kwa sasa yapo Asia na Middle East huko ndiko maendeleo yalipo so pamoja na kutawala huko ndio jamii pekee inayoogopa sana Vita hasa vita vya Nyumbani kwao na inapotokea Threat ya kuwapo kwa vita nyumbani kwao huwa wanachukua hatua za haraka sana kuzuia jambo hilo na njia pekee ni njia ya Kiplomasia ndio inafanya kazi hapo ikishindikana njia nyingine wanayoitumia ni njia ya kukuwekea vikwazo vya uchumi ambapo ni kukutoa kwenye mfumo wa kibiashara Duniani kumbuka ili kufanyika biashara lazima hatua 3 zifatwe
1 Bidhaa au huduma ambayo iko sokoni
2 Mnunuzi wa huduma au bidhaa hiyo
3 Mfumo wa malipo wa huduma au bidhaa hyo

Mfumo pekee wa malipo Duniani ni kupitia Banks na Banks utakutana na mfumo wa Global financial system (GFS) mfumo ambao 100% unamilikiwa na jamii hii na hawatoi room ya jamii nyingine kumiliki mfumo huu

Silaha ni moja ya Biashara kubwa kabisa Duniani na wazungu ndio wametawala soko hili ya silaha Duniani huku wakiwaachia 10% out of 100% jamii nyingine ambayo ni Asia (Mongolian races) Note kumbuka Russia ni wazungu pia so US ndio mtengenezaji mkubwa wa Silaha duniani katika makapuni makubwa 10 duniani ya kutengeneza silaha 7 yapo Marekani hapo nadhani unaweza kuona ni vipi Silaha zilivyo biashara kubwa kwa wamarekani ,Biashara ya silaha ndio biashara kubwa kuliko biashara zote duniani ikiwa pato la zaidi ya dola trillion 2.6 kwa mwaka huku US akimiliki 33% ya biashara yote akifatiwa na Russia na China huku makampuni 3 tu ya marekani ambayo ni Boeing (BA),Lockheed Martin (LMT) na Northrop Grumman (NOC) wakitengezeza faida ya dola bilion 500 huku nafasi za ajira ni 750,000 za kudumu huku zaidi ya 2,500,000 za mikataba kupitia contractors wao ndani ya US pekee so unaweza kuona Biashara hii ilivyo pia unatakiwa kuelewa kama unauza chakula ukitaka faida lazima kutokee njaa ndio biashara itakuwa vizuri mkuu so kama unauza silaha ni lazima kutokee nini hili biashara hiwe nzuri????
 
Back
Top Bottom