Je, Kuoa Wake wengi ni bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Kuoa Wake wengi ni bora?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Jan 7, 2010.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  NTV Kenya wanajadili na kungalia kama kuoa wake wengi ni jambo la busara na ni bora.

  Sikiliza hii tube, utashangaa majibu kutoka akina mama.

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=hf4bVX4-n7Y&feature=player_embedded[/ame]#
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wake wengi ni permisable (siyo dhambi), kwa mwenye uwezo wa kifedha, marital services) and a solution to the women: men world ratio problem
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mtumishi,

  Maoni ya mtumwa yanatakiwa yasitiliwe maanani. Maana hana uhuru wa kifikra kuona wa kuelewa undani wa anachokieleza.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unazo takwimu za kisayansi kuthibitisha hoja yako?? au ndo vile 'Koran imesema'??
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna mwingine anaoa kila kukicha, utasikia kaenda Mwanza kufunga ndoa kinyemela, mara sijui kaoa mke mwarabu, yaani kila siku rumaz za mshikaji kuoa zinaongezeka.
  Lakini afadhali siku hizi zamani vidada mbona vilikuwa vinakoma!!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unaweza kuthibitisha...........?
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Jan 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  hivi kuoa wake wengi ni uwezo wa kifedha? na siyo mahitaji ya mwili? ukitoa hela ya chakula na nguo ili hali umtimizii mahitaji ya unyumba hauoni unatunza wake wa wengine??

  Mbona naona linapingana na nature?

  Na je kwa nini wanawake hawaolewi na wanaume wengi??? maana wako wenye fedha!!
   
 9. O

  Omumura JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh, zuma kaoa wa tano juzi, then anachumbia wa sita, very soon!!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ni kuleta magonjwa tu ndani ya nyumba ..kwani hao wana uwezo gani wa kukithi matakwa ya hao wanawake wengi???
   
Loading...