abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Je kuna software ya kunisaidia wakati wa ku shoot live nitumie zaidi ya camera moja na hizi camera niziconnect kwenye PC ambayo ndio itakuwa na hiyo software and then hiyo projector nii connect kwenye hiyo PC such that wakati live shooting ikiendelea niwe na option ya kuselect shooting fulani ndo niirushe kwenye projector.
Maelezo yangu kama yanaeleweka naomba msaada kupigwa shule na name ya software plus link.
Maelezo yangu kama yanaeleweka naomba msaada kupigwa shule na name ya software plus link.