Je, kuna ulazima wa kuwepo shule za vipaji maaum? Faida yake ni ipi?

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,208
13,233
Wasalaam,
Kuna hili jambo huwa naliwaza sana na sioni umuhimu au matokeo chanya ya hizi shule?

Mtoto anaufulu vzr darasa la saba na anapangiwa shule ya sekondari ya vipaji maalumu, wakati huo kuna mwingne naye anafaulu anapangiwa shule ya kata wote wawili wanasoma mpaka wanahitimu kidato cha sita na baadae wanajiunga chuo kikuu hapo ndipo panakuja kuleta utata.

Mtoto aliyesoma shule ya kipaji maalumu na yule wa st kayumba wanakuja kukutana chuo kimoja na mbaya zaidi yawezekana yule wa st kayumba akapata mkopo vzr zaidi ya yule wa kipaji maalumu, hata kwenye ajira inakuwa hvyohvyo mambo ya kuungaunga tu.

Mm nilikuwa naona kama kuna shule za sec za vipaji maalumu basi kuwepo na vyuo vya vipaji maalumu hata ajira ziwepo za vpaji maalumu. Lakn kama hilo haliwezekan bora pasiwepo kabisa na vipaji maalumu.
.
.
.
.
.castle lite
 
Mahitaji ya elimu yameongezeka,mzazi anachagua shule anayoiamini,hakuna sababu kusema vipaji maalumu.
 
Back
Top Bottom