Je kuna ukweli wowote kuwa Mafua ndio ugonjwa unaoongoza kwa vifo vya Wazungu(Europeans)?

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Habarini wakuu..
Nafanya kazi pharmacy nimekuwa nikipokea malalamishi kwa watu wengi .
Wanasema mafua yakimpata mzungu ni rahisi sana kumuua kuliko Mwafrika ..
wakuu je kuna ukweli wowote
na kama upo naomba facts za kisayansi wakuu..
Asanteni
cc
senator jr
 
Back
Top Bottom