Je kuna ukweli wowote hapa?

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
405
Reaction score
155
Heshima zenu wakuu!!
Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili'

Kwamtazamo wangu naona chanzo cha wanawake wengi kuwa wadanganyifu kwenye ndoa au kwenye upenzi chanzo ni kufikishwa kileleni! kwavipi? ndo naelekea huko...
wanawake wengi wa zamani yaani bibi zetu walikuwa hawajui kitu kinaitwa kileleni(climax) na hii ni kutokana na waume zao au mababu zetu kuwa wabinafsi (yaan babu akimaliza haja zake anaona basi) ' asijue kumbe hata bibi anatakiwa kufika kunako' hata hivyo wapo wachache walikuwa wanatimiziwa!!


Sasa basi vizaz vyasasa hata ambaye hajaanza mapenzi anajua kuna kileleni(climax)' hivyo akianza mapenzi na akapata kijana asiejituma anatafuta mtu mbadala ili afike huko'' vivyo hivyo kwa walio kwenye ndoa na wenyewe ikitokea umepiga mzigo kama mara tatu na kuendelea alafu hajafika kunako anaanza kufikilia mbadala ili afikishwe.

Pa1 na hayo yote wapo wachache wanaojitambua na hawaendeshwi na hii (climax)! Je wewe walionaje hili? kuna ukweli wowote hapo?
 
Heshima zenu wakuu!!
Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili'

Hili ni kweli kwa kuwa kuna tafiti zimefanywa na matokeo yake ni chanya....


Umejuaje kuwa wanawake wa zamani walikuwa hawajui kama kuna climax katika tendo la ngono?

Kama kweli walikuwa hawafiki ama kufikishwa climax, inakuwaje kuna baadhi ya mila na makabila wakaibuka na taratibu za kukeketa visimi vya wanawake?

Mbona inasemekana na shahidi zipo(hata hapa jamvini zipo) kuwa wanaume wa kileo ni wavivu kwenye ngono na humaliza mapema, lakini wale wa zamani kutokana na mfumo wa maisha, mtindo wa ulaji n.k walikuwa na nguvu kitandani hata mwanamke anaweza kufika climax zaidi ya mara moja pasipo mwanaume kufika hata mshindo mmoja?
 

Hivi umefikiria kuwa suala la kufika kilele hutimilizwa na pande zote mbili?
 
Utamu unao mwenyewe,mwanaume/mwanamke ni means to ya kukufikisha climax,mbona ma lesbians wanafikishana kileleni kwa kushikana tu? Mbona punyeto mtu anapiga bao kwa imaginations tu? Kuna wanao duu kwa simu mpaka wote wanapiga bao..utamu unao mwenyewe mengine ni makorombwezo tu jamani.
 

ulishawahi kujiuliza kwann walikuwa wanakeketwa?

katika upekuzi wangu baadhi ya makabila yenye mila za jando na unyago ndio yalikuwa yanatrain kuhusu ndoa' makabila mengine hiyo kitu hamna na haikwepo!!
 
Hii sasa imekua kero! Kama hawafikishi huko si waende wenyewe
 
ulishawahi kujiuliza kwann walikuwa wanakeketwa?

katika upekuzi wangu baadhi ya makabila yenye mila za jando na unyago ndio yalikuwa yanatrain kuhusu ndoa' makabila mengine hiyo kitu hamna na haikwepo!!


Rejelea maswali yangu na uyajibu kwa ufasaha maana nimekuuliza sawasawa na findings zako...sasa naona kama umeyakwepa...
 
mahusiano sio kufikishana vileleni tu, kwanza huko tunaweza kufika wenyewe. lol! usiniulize kivipi. kuna la ziada linalosababisha huo udanganyifu
 
mahusiano sio kufikishana vileleni tu, kwanza huko tunaweza kufika wenyewe. lol! usiniulize kivipi. kuna la ziada linalosababisha huo udanganyifu

La ziada linalosababisha udanganyifu ndo lipi hilo mkuu? litupie hapa ili tuangalie namna yakulitatua maana hili janga!!
 
mahusiano sio kufikishana vileleni tu, kwanza huko tunaweza kufika wenyewe. lol! usiniulize kivipi. kuna la ziada linalosababisha huo udanganyifu

Absolutely...
 
La ziada linalosababisha udanganyifu ndo lipi hilo mkuu? litupie hapa ili tuangalie namna yakulitatua maana hili janga!!

la ziada hilo ni la mtu binafsi, linaweza lisifanane na la mwenzio.
 

kwamba wanaume wa zaman walikua na nguvu wawapo kitandan kuliko sasa ni kweli' lakini kumbuka nguvu bila akili(utundu) ni useless!! hivyo wachache walokua wanautundu wawapo kitandani ndo walikua wanawafikisha but most of them ilikuwa one way traffic!!
 
la ziada hilo ni la mtu binafsi, linaweza lisifanane na la mwenzio.


kwaswala hili lilivyo kuwa tatizo sugu lazima kuwe na chanzo kimoja kikubwa(root source of the problem)' mengine hayo ndo ziada, na yaweza kuwa kwa mtu binafsi!!
 
Hata sisi huwa tunaitafuta wenyewe (w.ke) lkn hatuwez kufika km mwanamme anawahi kufika kwn ile kitu ikishatema tu inalala ss hapo mi nitaaftaje?

Pili, km w.me mlivotogautiana na sisi tunatofautiana kuna wanaume ye akipanda tu keshapizz kuna mwigine after 5mins mwengine 10mins na mwengine 30mins n.k , ss kuna w.wke wao anafika climax baada yada mrefu especially akiwa hajaandaliwa vya kutosha (romance), ss m.mke km huyu akikutana na m.me lele mama hafiki climax hata siku moja.na kusema kweli wanaume wengi wa siku hizi nguvu haswwa za kiume hawana ila wana matamanio tuuuu, vidudu vyenyewe vidogoo na wakipanda tu wanacheua. Na hii inasababishwa na vyakula wanavokula vimejaa makemikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…