Ndugu,
Haya ni mambo ya imani zaidi kuliko ukweli wenyewe, hata kwetu baadhi ya watu wanaamini hivyo. Cha msingi hapa mdadisi kwa undani zaidi ili akwambie ukweli, mfano;
1) Kwanini hakukwambia kwamba ana mimba aliyobebeshwa wewe
2)Kwanini alipojifungua mtoto alimpekeka kwa mwanamme mwingine?
3) n.k
Majibu yake yatakuonyesha kwa kiasi gani ni mkweli au mwongo, alafu kama kuna uwezeano kapime DNA ili nawe usije ukalea mwana si wako.