CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #41
hamna ukweli hata kidogo kwanza utaolewaje wakati ni kicheche?
Nilikualika kimoyomoyo myTeam... Ndio maana umekuja!!
As i said hii dhana hutumiwa sana na wanaume, kwa wanawake sijui kwa kweli... Sasa huyo huyo mwanaume kicheche anataka mwanamke mtulivu wakati yeye sio mtulivu how comes???
8*8 ndiyo nini ? two big fat ladys....!
hahaha sasa mbona unamjibia mkuu yeye mwenyewe yuko wapi..??
Hakuna kitu kama hicho! Walahi nakuapia!!Hapo kny nyekundu tukisema na mwanamke hajaumbwa kwaajili ya mwanaume mmoja unakubali na usijidanganye mkeo ni wako peke yako unakubali???
Habari za mchana mabibi na Mabwana,
Kuna dhana moja imeeneza miongoni mwa jamii zetu kuwa Wacha tufanye mapenzi kiholela mpaka hapo tutakapoingia kwenye ndoa, ili tukishaingia tutulie dhana hii husemwa sana na wanaume.
Kuna rafiki zangu kadhaa nilisikia wakisema hivyo.
Wazee mliopo humu mmewahi kusikia huu msemo na je unafanya kazi? Wale wanandoa wa sasa je mliwahi kupitia katika hali hii?
Mie nafikiri iwapo mtu atashindwa kutulia katika mahusiano ya awali (BF & GF) ndivyo hivyo atakavvyoshindwa kutulia katika ndoa.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
Karibuni akina Babu Dark City, Babu Asprin, Mzee Mtambuzi, Ankal Kaizer, Kaka HorsePower na wadau wooooteeee!!!!
Huu msemo nauunga 100%, manake maisha ni mwendelezo wa hatua moja baada ya nyingine, ukiruka ujue lazima hata uzeeni utairudia hii stage, kwangu mimi ni bora kuwa bazazi katika age ya 20-35, kuliko kuwa bazaz katika age ya 60 years. Si mnakumbuka ya Kapuya?
Mjukuu charminglady unantafuta nakuambia. Ndo nshasema hivyo.
Mi babu yako kabla sijamuoa bibi yenu nlikuwa nabadilisha vimwana kama mboga. Baada ya kuoa, mwanzoni niliendeleza libeneke. Kalivozaliwa kamalkia kangu Matesha nikatulia tuli na familia. Nitake tena za nini wakati nshajionea za kutosha zenye ladha mbalimbali?
Mpaka sasa babu yenu nimetulia. Labda itokee tu walah.
Kuamua kutulia hakuna uhusiano wowote na tabia za awali. Jasiri haachi asili. Mwanaume kitombi, Mungu labda amtie umaskini tu. Akiwa na mahela atawabadilisha kila siku, hata kama ana wake wanne.
Ila usisahau, mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Usije ukajidanganya mmeo ni wako peke yako. Tunatofautiana kwenye usiri na idadi ya wanawake wa nje tunaowalabua.
Sijaandika mimi, nimekopi na kupesti toka blogu flani ya Sudani ya Kusini
huu ni unjinga kabisa aiseee....
Huu msemo nauunga 100%, manake maisha ni mwendelezo wa hatua moja baada ya nyingine, ukiruka ujue lazima hata uzeeni utairudia hii stage, kwangu mimi ni bora kuwa bazazi katika age ya 20-35, kuliko kuwa bazaz katika age ya 60 years. Si mnakumbuka ya Kapuya?
azini sasa hivi baadae ata acha ndo ujinga wenyeweFunguka ujinga kwenye nn bidada?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo penye red uko sahihi.Habari za mchana mabibi na Mabwana,
Kuna dhana moja imeeneza miongoni mwa jamii zetu kuwa Wacha tufanye mapenzi kiholela mpaka hapo tutakapoingia kwenye ndoa, ili tukishaingia tutulie dhana hii husemwa sana na wanaume.
Kuna rafiki zangu kadhaa nilisikia wakisema hivyo.
Wazee mliopo humu mmewahi kusikia huu msemo na je unafanya kazi? Wale wanandoa wa sasa je mliwahi kupitia katika hali hii?
Mie nafikiri iwapo mtu atashindwa kutulia katika mahusiano ya awali (BF & GF) ndivyo hivyo atakavvyoshindwa kutulia katika ndoa.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
Karibuni akina Babu Dark City, Babu Asprin, Mzee Mtambuzi, Ankal Kaizer, Kaka HorsePower na wadau wooooteeee!!!!
mimi nilifikiri miaka 20-35 ni miaka ya kujijenga kielimu na kiuchumi. Halafu miaka 40 na kuendelea ni miaka ya kupaa nyoka.