CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Dah! sema hujanialika kwa jina.... lakini poa... hakuna ukweli mtu hawezi tulia kwa sababu amezoea kufanya hivyo
Nimependezwa na mtazamo wako ni kweli kabisa huwezi kuacha tabia chafu baada ya kuoa/kuolewa wanasema jasiri haachi asili. Kama mtu si mwaminifu hata kipindi cha gf na bf , huyo nafsi yake ilishakufa haiwezi kufufuka wakati wa ndoa so be careful kama bf/gf anacheat.Tabia za kuendekeza huishia kuwa kama NGOZI .... inakomaa na kuzeeka na wewe mwanzo mwisho.
Nachotaka kusema na ambacho nimekuwa nawaambia jamaa zangu.... UTAKAVYO KUISHI KESHO ISHI SASA ILI KESHO IJENGEKE KWENYE MSINGI HUU WA LEO'' vinginevyo usipoweka msingi imara sasa, nyumba yako itayumba yumba sana kesho.
Habari za mchana mabibi na Mabwana,
Kuna dhana moja imeeneza miongoni mwa jamii zetu kuwa Wacha tufanye mapenzi kiholela mpaka hapo tutakapoingia kwenye ndoa, ili tukishaingia tutulie dhana hii husemwa sana na wanaume.
Kuna rafiki zangu kadhaa nilisikia wakisema hivyo.
Wazee mliopo humu mmewahi kusikia huu msemo na je unafanya kazi? Wale wanandoa wa sasa je mliwahi kupitia katika hali hii?
Mie nafikiri iwapo mtu atashindwa kutulia katika mahusiano ya awali (BF & GF) ndivyo hivyo atakavvyoshindwa kutulia katika ndoa.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
Karibuni akina Babu Dark City, Babu Asprin, Mzee Mtambuzi, Ankal Kaizer, Kaka HorsePower na wadau wooooteeee!!!!
Tabia za kuendekeza huishia kuwa kama NGOZI .... inakomaa na kuzeeka na wewe mwanzo mwisho.
Kwani kuna Teja aliyewahi kufikiri ataishia kuwa alivyo sasa wakati anaanza kutejeka? (kujaribu jaribu madawa)
Kwani kuna mwizi anayeamini safari anayoenda kuiba sio ya mwisho (anasema safari ijayo huenda nitakamatwa hii moja ya mwisho) lakini anaiba mwana nenda rudi.
Walio ndani ya ndoa unafikiri wakati wanaacha njia kuu walifikiri wataishia kuwa wateja wa kudumu njia za vumbi? shits just happens
Nachotaka kusema na ambacho nimekuwa nawaambia jamaa zangu.... UTAKAVYO KUISHI KESHO ISHI SASA ILI KESHO IJENGEKE KWENYE MSINGI HUU WA LEO'' vinginevyo usipoweka msingi imara sasa, nyumba yako itayumba yumba sana kesho.
Nimependezwa na mtazamo wako ni kweli kabisa huwezi kuacha tabia chafu baada ya kuoa/kuolewa wanasema jasiri haachi asili. Kama mtu si mwaminifu hata kipindi cha gf na bf , huyo nafsi yake ilishakufa haiwezi kufufuka wakati wa ndoa so be careful kama bf/gf anacheat.
kwan vp unataka na ww uanze kungonoka?? Ili baadaye utulie?
Mjukuu charminglady unantafuta nakuambia. Ndo nshasema hivyo.
Mi babu yako kabla sijamuoa bibi yenu nlikuwa nabadilisha vimwana kama mboga. Baada ya kuoa, mwanzoni niliendeleza libeneke. Kalivozaliwa kamalkia kangu Matesha nikatulia tuli na familia. Nitake tena za nini wakati nshajionea za kutosha zenye ladha mbalimbali?
Mpaka sasa babu yenu nimetulia. Labda itokee tu walah.
Kuamua kutulia hakuna uhusiano wowote na tabia za awali. Jasiri haachi asili. Mwanaume kitombi, Mungu labda amtie umaskini tu. Akiwa na mahela atawabadilisha kila siku, hata kama ana wake wanne.
Ila usisahau, mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Usije ukajidanganya mmeo ni wako peke yako. Tunatofautiana kwenye usiri na idadi ya wanawake wa nje tunaowalabua.
Sijaandika mimi, nimekopi na kupesti toka blogu flani ya Sudani ya Kusini
Dogo umeenda shule leo?