Je, kuna uhusiano wa UTI sugu na kuathiri 'sexual pleasure' ya mwanamke?

Ni sahihi kwa 100% Lakini si sababu ya pekee, Wanawake wengi wanashiriki sex sababu ya njaa hivyo inawalazimu kushiriki bila wao kupenda na pengine kwa watu ambao hawajawaridhia.

For what i know, mwanamke ukifikia umri fulani ukawa na uhakika wa kipato chako binafsi na umechagua mtu uliyeridhika nae sex inakua very easy and tamu sana.
 
Excatly

Huyu nilie nae ni wife wangu na as far as i know naona anaridhika na mimi

Na amekuwa na uti ambaye anakuwa anaitibu hadi na sindano wapi haiponi.
 
Kama ni wife nendeni hospital, onaneni na gyno sababu hiyo UTI itakuwa imevuruga sana mfumo mzima wa homone zake, aongee na gyno amwelezee historia ya tatizo.

Matibabu ya UTI hebu nendeni hospital za mikoa mfanye (culture) madaktari nisaidie kumueleza huyu ndugu process hii ili apate majibu sahihi kwa ajili ya kupata matibabu sahihi. Otherwise wapime pia PID na magonjwa kama hayo.

Mshauri pia abadili life style kwa Kubadili baadhi ya vyakuka, kupendelea kunywa maji mengi, maziwa mtindi, kupunguza kula vyakula vyenye hamira (maandazi, mikate) etc. Ila yote kwa yote kutibiwa kwanza, kwa kubadili lifestyle achunguze pads na under panties anazotumia ili kuweza kucontrol UTI isijirudie rudie.

Na wewe ukapime na utibiwe.
 
Umesahau awe anajitawaza kwa kurudi nyuma sio mbele maana hao backteria wa uti wapo kwenye ass
 
unawashauri nini mafirauni??!!maana wao sio kuchamba kwa mbele wanaogelea kbs kwenye kimba
 
Kama ni wife nendeni hospital, onaneni na gyno sababu hiyo UTI itakuwa imevuruga sana mfumo mzima wa homone zake, aongee na gyno amwelezee historia ya tatizo.

Matibabu ya UTI hebu nendeni hospital za mikoa mfanye (culture) madaktari nisaidie kumueleza huyu ndugu process hii ili apate majibu sahihi kwa ajili ya kupata matibabu sahihi. Otherwise wapime pia PID na magonjwa kama hayo.

Mshauri pia abadili life style kwa Kubadili baadhi ya vyakuka, kupendelea kunywa maji mengi, maziwa mtindi, kupunguza kula vyakula vyenye hamira (maandazi, mikate) etc. Ila yote kwa yote kutibiwa kwanza, kwa kubadili lifestyle achunguze pads na under panties anazotumia ili kuweza kucontrol UTI isijirudie rudie.

Na wewe ukapime na utibiwe.

Ubarkikiwe kabisa boss,

Hata mimi niliwazia kacha, ila kuna dawa za bf suma ambazo nimemnunulia ngoja tuone ufanyakazi wake maaana watu wanaziamiania.

Ikiendelea kuzimgua nitampeleks akafNyie kacha

NRudiaa tena ahsante mkuu ubarkiwe sna
 
Kama ni wife nendeni hospital, onaneni na gyno sababu hiyo UTI itakuwa imevuruga sana mfumo mzima wa homone zake, aongee na gyno amwelezee historia ya tatizo.

Matibabu ya UTI hebu nendeni hospital za mikoa mfanye (culture) madaktari nisaidie kumueleza huyu ndugu process hii ili apate majibu sahihi kwa ajili ya kupata matibabu sahihi. Otherwise wapime pia PID na magonjwa kama hayo.

Mshauri pia abadili life style kwa Kubadili baadhi ya vyakuka, kupendelea kunywa maji mengi, maziwa mtindi, kupunguza kula vyakula vyenye hamira (maandazi, mikate) etc. Ila yote kwa yote kutibiwa kwanza, kwa kubadili lifestyle achunguze pads na under panties anazotumia ili kuweza kucontrol UTI isijirudie rudie.

Na wewe ukapime na utibiwe.

Nimependa haya maeleso hapa,,, nna share the same problem too,,, ila naomba kufahamu culture nini hii????
 
unawashauri nini mafirauni??!!maana wao sio kuchamba kwa mbele wanaogelea kbs kwenye kimba
No wonder watu wa aina yako mnatumia majambia kusukuma agenda zenu. Elimu hamna!. Kichwa kimejaa maruwe ruwe.
 
Excatly

Huyu nilie nae ni wife wangu na as far as i know naona anaridhika na mimi

Na amekuwa na uti ambaye anakuwa anaitibu hadi na sindano wapi haiponi.
Yaani majibu unatoa wewe kuhusu ukweli wa mkeo chunguza sana tabia yako ya ngono kama unatoka nje au unakula ndogo kama ilivo otherwise mkeo anadinywa sana UTI ni matendo sio miujiza ikiwemo uchafu
 
Nimependa haya maeleso hapa,,, nna share the same problem too,,, ila naomba kufahamu culture nini hii????
I stand to be corrected.
Kwa lugha rahisi, culture and sensitivity, ni kipimo ambacho, maabara wanachukua specimen kwa mfano damu au mkojo au choo kutokana na ugonjwa unaokusumbua mara kwa mara bila kupona. Then hyo specimen inaenda kuwekewa dawa tofauti tofauti zinazotibu ugonjwa huo. Hapo wataona dawa ipi inamaliza wadudu kwa kiasi kikubwa zaidi. Hiyo ndo utapewa ili kuwafyekelea mbali.
Wataalam zaidi wataongeza maelekezo
 
Ni sahihi kwa 100% Lakini si sababu ya pekee, Wanawake wengi wanashiriki sex sababu ya njaa hivyo inawalazimu kushiriki bila wao kupenda na pengine kwa watu ambao hawajawaridhia.

For what i know, mwanamke ukifikia umri fulani ukawa na uhakika wa kipato chako binafsi na umechagua mtu uliyeridhika nae sex inakua very easy and tamu sana.
Nitafute pm tuongee
 
Back
Top Bottom