Je kuna uasi unanukia chamani?

Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Lukuvi naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Ummy naye kaliwa kichwa kwenye ubunge. Kuna kitu
 
February mtoe hapo yule anaishi kwa ule msemo wa " ipo" siku
Ila hiki kikundi cha haya majizi ya ccm kina watu makatili sana
Ni opportunist unajua.. Hivyo hashindwi kucheza na miguu yote
 
Nafikiri kumgusa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Mpina, Gwajima, Kanisa Katoliki, Kinana, wimbi la kukata kihuni baadhi ya wabunge ..... nina hofu.... 2015 walipambana na Lowasa .... time hii watapambanq na mfumo ndani ya mfumo ..... sioni dalili njema kwenye vita inayonukia ...... Tuliombee Taifa
 
time hii watapambana📌🔨❗💥 na mfumo ndani ya mfumo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…