Je, kuna Tape Measure walau Mita 70?

Je, kuna Tape Measure walau Mita 70?

Second Fiddle

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
469
Reaction score
122
Habari zenu wakuu! Naombeni kufahamishwa kama kuna Tape Measure "futi" yenye urefu wa atleast mita 70!? Na kama ipo ni how much bei yake? Ni hilo tu wakuu. Wenu katka ujenzi wa Taifa, Deograthias aka Second Fiddle! Thanks.
 
Ndo mmeamua kuuchuna mpaka niende kichwakichwa mwenyewe kwenye duka la hardware nikaibiwe? Kuweni wastaarab basi tuelekezane bure tu, au mpaka muahidiwe papuchi? maana mm namiliki ndanguro!
 
Ndo mmeamua kuuchuna mpaka niende kichwakichwa mwenyewe kwenye duka la hardware nikaibiwe? Kuweni wastaarab basi tuelekezane bure tu, au mpaka muahidiwe papuchi? maana mm namiliki ndanguro!

Nenda mwenge pale maduka ya hardware, bei ni kati ya 10,000/ hadi 15,000/. Kuwa mstarabu wa lugha na maneno...
 
Habari zenu wakuu! Naombeni kufahamishwa kama kuna Tape Measure "futi" yenye urefu wa atleast mita 70!? Na kama ipo ni how much bei yake? Ni hilo tu wakuu. Wenu katka ujenzi wa Taifa, Deograthias aka Second Fiddle! Thanks.
Zipo hadi zaidi ya meta 100, ila kwa mahitaji yako itabidi uchukue ya meta 100, mimi nilinunua mwaka ya meta 50 kwa elfu 6 na mia 5. Hiyo ya mia inaweza kuwa zaidi ya elfu kumi. Zinapatikana kwenye maduka yanayouza vifaa vya ujenzi.
 
ipo ambayo ni mita 50 sawa na futi 168
na mita mia swa na fut 336
bei ni 8000- 14000
 
Back
Top Bottom