Je kuna siku Urusi itakuja kudai eneo lao lilopo Alaska

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Imenibidi kujiuliza urusi kuanza kuitaka ukrain ila bado mpaka sasa ana sota nayo kwenye vita.

Historia kwa ufupi alaska inasemekana ilikuwa eneo la urusi na urusi ndio ilikuwa na maeneo makubwa kuliko sehemu zote.

utawala mbovu na upepari watamaa ulipelekea alaska kuu mwaka 1867 kwa kiasi cha dola milioni 7.2 ambayo kama inavokadilia ingekuwa 2010 ingekuwa sawa na dola milioni 140.

sasa hivi tunaona nchi nyingi zinajaribu kurudisha historia zao walizopoteza au kutokuwa na imani na maeneo.
mfano leo tunaona china kuitaka taiwan kwa nguvu !.

je urusi na ili anafikiria kufanya :
wajuzi
IMG_9360.jpg

IMG_9359.jpg
 
Urusi walishamuuzia Marekani kwenda kulidai itakuwa ni kutafuta shari.
 
Back
Top Bottom