mrlonely98
Member
- Nov 6, 2009
- 94
- 6
Kuna shule ambayo rafiki yangu ana soma sasa kamaliza first year sasa anataka kuchukua second year hiyo shule ikamwambia kama wanaifunga shule coz hawana hela na course anayechukua ni btec na hiyo ni shule peke inafundisha hiyo btec hapa tanzania so hwezi kwenda shule ningine coz itambidi aanze upya je wanaweza kufanya hivyo na hiyo shule imejiandikisha serikalini