Kuajiri watumishi/wafanyakazi ni mchakato ambao unafanywa na watu wenye elimu na uzoefu wa kazi hiyo. Sasa napata mashaka pale ninapoona kasoro katika mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwenye sekta mbali mbali serikalini.
Moja ya kosa kubwa sana ni ku select applicants wengi wanaoitwa kwenye interview.
Ratio ya kuwaita watu kwenye interview interview (round ya kwanza) kuanzia candidates 3:1 hadi 5:1 hususani kwa nafasi ambazo ni kubwa ila kwenye mass recruitment kama hii ya TRA na sekta zingine serikalini ambako wanaajiri wafanyakazi wengi kwa mkupuo ratio inayoshauriwa na wataalam wa kuajiri ni kuanzia 6:1 hadi 10:1 kwa maana ya kwamba katika kila nafasi 1 waitwe candidates 6 hadi 10 kwenye interview ya kwanza.
Sasa kilichofanyika TRA na ndiyo kawaida yao huko kwa wenzetu serikalini ni hakunaga hata ratio. Wao ni kualika all most applicants woteee. Mfano ni nafasi hizi 1596, zaidi ya watu 112,900 wameitwa kwenye interview. Hiyo ni ya waombaji 70 kwa kila nafasi 1 kitu ambacho kinanifanya nioji ufanisi wa hiyo recruitment process.
Mimi nawatakia kila la kheri watu watakaochaguliwa kwenye huo mchakato. Isiwe ile ya kurusha karatasi hewani.