Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,182
- 3,118
Habari wadau
Ndugu yenu nataka nijitwalie usafiri ili unisaidie mizunguko yangu ,sasa nmeona kuna sunlg xl 125 ila sijavutiwa nazo .
Mimi Navutiwa na pikipiki aina ya TVs kutokana na ulaji wake Wa mafuta , je hii kampuni wao hawajatoa xlr yake maana napenda sana pikipiki ndefu .
Kama zipo Je bei yake na uimara wake ukoje ?
Kama kuna mtu unayo na unauza tafadhali tuzungumze biashara .
Pia kama kuna mtu una ushauri Wa aina yoyote ile karibu na ntashukuru sana