Joka kuuMakamu wa Rais alijiuzulu kugombea tena.
Waziri Mkuu akajiuzulu kugombea ubunge.
Je kuna mwingine atajiuzulu kugombea kabla ya Oktoba?
Tunafatilia…
panavuja kila konaMada zimekuwa nyingi, nini kinaendelea huko juu?
Kweli aisee.Uhuru ukipitiliza wakati mwingine ni shida
Kwamba ni joka kuu lililopo kifungoni?Joka kuu
Ni upepo tuMada zimekuwa nyingi, nini kinaendelea huko juu?