Je kuna mfumuko wa bei?

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Nadhani mfumuko wa bei(Inflation) kila mtu unamgusa, na inatuathiri sote wether uwe muuzaji au mnunuzi.
Miaka 2 iliyopita bei za bidhaa zilikuwa steady kidogo, ila recently bei za bidhaa hazichukua muda hata miezi 2 bei inapaa, ukinunua unga 25kg leo kwa 35,000 mwezi wa 3 utanunua unga huo huo kwa 42,000/=

At the same time;
1) Mishahara ipo constant
2) Biashara ngumu/hazileti returns nzuri.

How do you define this in economic point of view?
 
sometime DEMAND and SUPPLY controlls the market.
uhtaji ukiwa juu afu supply ikawa low/costant bas bei inapaa And vice versa.

kwa mfano huku kwetu nyanya 4 zauzwa 1000 sasa huwez kunambia et wazir wa kilimo atoe bei elekez ya kuuza nyanya neVER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa, ceritis peribus, kwanini demand ikiwa sawa na supply bidhaa bado inapanda bei?
 
"Ceritis peribus is very rare in bussnes"

demand na supply haziwez kuwa sawa never nevaa ,,,, sometyme consumers wanaongezeka but supplier ni wale wale mfano..... unakuta pale mhi2 wamezaliwa watoto 30/day but wauzaji wa unga wa lishe za watoto wanaongezeka mmoja/week

Au

unakuta mtaan kwenu kuna duka moja then wanakuja watu wawili wanafungua maduka simultaneously hapo it mean supply imeongezeka but demand iko constant.

how do u explain this scenario?
Nakuelewa, ceritis peribus, kwanini demand ikiwa sawa na supply bidhaa bado inapanda bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom