Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 248
Bora usingejibu aisee, ungecomment kwenye topic nyingine kama huna cha kuchangia hapa.
Amekujibu vzr kulingana na ufahamu wako, ina maana wewe umeona kuvimba sio madhara!??Bora usingejibu aisee, ungecomment kwenye topic nyingine kama huna cha kuchangia hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekujibu vzr kulingana na ufahamu wako, ina maana wewe umeona kuvimba sio madhara!??
Nashukuru kwa maelezoSio kila aina ya nyoka mate yake yanasumu. Kuna ambao ukinawa na maji kawaida within three minutes hupati madhara ila Kuna wengine ndio sumu yao ilipo.
Nyoka kutema mate Ni njia tu ya kujilinda dhidi ya adui. Hivyo Soma kujua aina za nyoka na sumu walizonazo kwenye meno na mate.
Kiboko ya nyoka wore duniani Ni black Mambo aka Koboko. Ana sumu tatu zinazopelekea kufa ndani ya 23 minutes
Wewe jamaa kweli kilaza.Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio umejipambanua kiasi cha ujinga wako, eti "kila mtu anafahamu madhara ninayoongelea" Jifunze kuwa unapozungumza na public sio kila mtu atayafahamu mawazo yako au kila mtu yupo kwenye uelewa wa level yako, ni lazima utoe ufafanuzi na ikibidi mifano hai, usituambie kuvimba sio madhara, at least ningekuelewa kama ungesema madhara yalikuwa kwa kiwango kidogo saana..Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kusikia mtu ametemewa mate na nyoka akafariki!???Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe kuvimba kwa muda baada ya kutemewa mate na nyoka unaona ni madhara, ubongo wako umejaa vunza sana
Kuna kesi nyingi sana za kutemewa mate na nyoka machoni na kupofuka ama kufa, sasa huo usomi wako sijui ulimpa rushwa ya ngono mkufunzi akakufaulisha maana ubongo wako umejaa funzaUlishawahi kusikia mtu ametemewa mate na nyoka akafariki!???
Aseee hawa ndio wasomi wetu wa siku hizi, degree za wapi sijui hizi mlizonazo.
Sasa wewe umejipambanua haja kubwa ili utoe funza au maana sioni point inayoongeleaHapa ndio umejipambanua kiasi cha ujinga wako, eti "kila mtu anafahamu madhara ninayoongelea" Jifunze kuwa unapozungumza na publot sio kila mtu anayafahamu mawazo yako au kila mtu yupo kwenye uelewa wa level yako, ni lazima utoe ufafanuzi na ikibidi mifano hai, usituambie kuvimba sio madhara, at least ningekuelewa kama ungesema madhara yalikuwa kwa kiwango kidogo saana..
Yawezekana huduma ya kwanza ya kunawa uso ilisaidiaNadhani kuna nyoka ambao mate yao hayana madhara iwapo huduma ya kwnza itafanyika. Kuna mtu alitemewa mate na nyoka, akasema maumivu ya yale mate anahisi kama ameingiwa na michanga machoni. Akawahishwa hospital akapewa dawa akatumia kama ndani ya wiki akawa amepona kabisa.
You are not serious.Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kuvimba ni madhara,vinginevyo unge-define madhara kwako ni yapi kwenye thread yako mwanzo kabisa....Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora na wewe umemwambiaYou are not serious.
Kuvimba sio madhara? Do you realize kwamba hiyo ni dalili kwamba simu nimefanya yake ndani mpaka inakuja kujionyesha kwa kuvimba?