Je kuna Mate ya nyoka ambayo hayana madhara?

Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
273
248
Za jioni wadau,
Mdogo wangu akiwa na miaka 10 alitemewa mate machoni na nyoka flani mweusi ambaye sikujua ni aina gani ya nyoka mwaka 1999, cha kushangaza macho ya mdogo wangu yalivimba tu na hakupata madhara mengine yoyote mpaka leo hii, je ni kwamba huyo nyoka mate yake hayakua na sumu au nini kilitokea? Tuelimishane wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila aina ya nyoka mate yake yanasumu. Kuna ambao ukinawa na maji kawaida within three minutes hupati madhara ila Kuna wengine ndio sumu yao ilipo.

Nyoka kutema mate Ni njia tu ya kujilinda dhidi ya adui. Hivyo Soma kujua aina za nyoka na sumu walizonazo kwenye meno na mate.

Kiboko ya nyoka wore duniani Ni black Mambo aka Koboko. Ana sumu tatu zinazopelekea kufa ndani ya 23 minutes
 
Nashukuru kwa maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio umejipambanua kiasi cha ujinga wako, eti "kila mtu anafahamu madhara ninayoongelea" Jifunze kuwa unapozungumza na public sio kila mtu atayafahamu mawazo yako au kila mtu yupo kwenye uelewa wa level yako, ni lazima utoe ufafanuzi na ikibidi mifano hai, usituambie kuvimba sio madhara, at least ningekuelewa kama ungesema madhara yalikuwa kwa kiwango kidogo saana..
 
Ulishawahi kusikia mtu ametemewa mate na nyoka akafariki!???

Aseee hawa ndio wasomi wetu wa siku hizi, degree za wapi sijui hizi mlizonazo.
Kuna kesi nyingi sana za kutemewa mate na nyoka machoni na kupofuka ama kufa, sasa huo usomi wako sijui ulimpa rushwa ya ngono mkufunzi akakufaulisha maana ubongo wako umejaa funza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio umejipambanua kiasi cha ujinga wako, eti "kila mtu anafahamu madhara ninayoongelea" Jifunze kuwa unapozungumza na publot sio kila mtu anayafahamu mawazo yako au kila mtu yupo kwenye uelewa wa level yako, ni lazima utoe ufafanuzi na ikibidi mifano hai, usituambie kuvimba sio madhara, at least ningekuelewa kama ungesema madhara yalikuwa kwa kiwango kidogo saana..
Sasa wewe umejipambanua haja kubwa ili utoe funza au maana sioni point inayoongelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna nyoka ambao mate yao hayana madhara iwapo huduma ya kwnza itafanyika. Kuna mtu alitemewa mate na nyoka, akasema maumivu ya yale mate anahisi kama ameingiwa na michanga machoni. Akawahishwa hospital akapewa dawa akatumia kama ndani ya wiki akawa amepona kabisa.
 
Yawezekana huduma ya kwanza ya kunawa uso ilisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom