mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 762
- 1,401
Kwenye hizo ahadi za kwenye vitabu vya dini ,hazifariji chochote zaidi ya kukufanya uishi kwa mashaka, na kulia pilipili gizani unawashwa lakini hausemi.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
yah!!!,,,,angalia unavolala[zoezi la kufa},,,,kama ni msaarab,unaoga,unasali,unaingia kitandani,unajifunika shuka{kama sanda] alaf unapoteza fahamu!!!!!!!!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,then unaota mambo yalokutokea mchana,mambo ya kale,,,,na kamauna kaunabii flan,unaota mambo yajayo,,then asubui au wakati flan unaamka,,,unaona,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!maajabu hayo?????so jitahidi kuwa msafi kadri uwezavyo!!!Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Umewahi kuzimia? Uliota?yah!!!,,,,angalia unavolala[zoezi la kufa},,,,kama ni msaarab,unaoga,unasali,unaingia kitandani,unajifunika shuka{kama sanda] alaf unapoteza fahamu!!!!!!!!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,then unaota mambo yalokutokea mchana,mambo ya kale,,,,na kamauna kaunabii flan,unaota mambo yajayo,,then asubui au wakati flan unaamka,,,unaona,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!maajabu hayo?????so jitahidi kuwa msafi kadri uwezavyo!!!
Umewahi kuzimia? Uliota?
Tuachane na hilo, unapofananisha kufa na
Umewahi kuzimia? Uliota?
Tuachane na hilo, unapofananisha kufa na kulala, ukilala
"Amini unachoamini,na mimi naamini ninachoamini""...............nadhani 2meelewana au sio!!!Umewahi kuzimia? Uliota?
Tuachane na hilo, unapofananisha kufa na kulala, ukilala unaoza?
NATOKA KIDOGO🏃
Hakuna sehemu nimesema uniamini"Amini unachoamini,na mimi naamini ninachoamini""...............nadhani 2meelewana au sio!!!
ok sir!!!"kuwa na siku njema"Hakuna sehemu nimesema uniamini
mzee ulifariki mwaka gani?yah!!!,,,,angalia unavolala[zoezi la kufa},,,,kama ni msaarab,unaoga,unasali,unaingia kitandani,unajifunika shuka{kama sanda] alaf unapoteza fahamu!!!!!!!!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,then unaota mambo yalokutokea mchana,mambo ya kale,,,,na kamauna kaunabii flan,unaota mambo yajayo,,then asubui au wakati flan unaamka,,,unaona,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!maajabu hayo?????so jitahidi kuwa msafi kadri uwezavyo!!!
Kama kabla ya kuzaliwa ulikua haujui utajuaje ukifa sasa.Kila mtu ikifika siku yake ndio atajua nini kinatokea, mengine ni uongo tu