Je, kuna madhara yoyote kumeza kohozi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,650
Hili swali nimewahi kuuliza humu ndani na sikupata jibu. Kuna sehemu kohozi linatokea ghafla na ni mazingira ambayo huwezi kusema uteme. Sasa ukiwa mmezaji mkubwa, kuna madhara?
 
Back
Top Bottom