PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
habari za hapa wanajukwaa wenzangu samahani ningependa kujua kama kuna madhara yoyote yatakayompata mwanaume endapo atajichelewesha kumwaga wazungu kwa makusudi wakati wa tendo la ndoa nauliza hivi kwa maana juzi nilivokuwa kwenye mechi wakati bao la pili linakaribia kutoka nikatoa mtarimbo wangu haraka sana ili nisimwage na kweli sikumwaga.....cha ajabu baada ya hapo sikupata nafasi tena ya kupata bao jingine pamoja na juhudi zote nilizozionyesha uwanjani
Nisaidieni maana toka siku hiyo nawaza sana na pia nakosa amani kabisaa...
Nisaidieni maana toka siku hiyo nawaza sana na pia nakosa amani kabisaa...