Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,424
- 15,976
Nataka kujua kuna madhara gani yatajitokeza katika gari yangu endapo nitatoa Resonator tank? Kwa ambae haijui hii resonator ni kitank flan kinakaa chini ya battery pale kimeungwa na mfumo wa kuingiza hewa kabla haijafika kwenye air filter.
Nawasilisha.
Nawasilisha.