Je, kuna kero zozote zilizotatuliwa na viongozi waliowatembelea eneo fulani?

Karaoke

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
478
1,005
Mara kwa mara tumekua tukisikia viongozi wetu kuanzia ngazi za chini hadi taifa kwamba wamefanya ziara kuwatembelea wananchi kusikiliza kero zao na kuzipatia ufumbuzi, hebu wenye kumbukumbu ya kero zilizotatuliwa na viongozi waliowatembelea watupie humu..
 
Back
Top Bottom