Je, kuna faida gani katika AISEC graduate program?

baest

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
273
165
Habari wakuu.. Kwa upande wa Tanzania. Wenye uelewa na program husika ..je kuna faida gani zaidi katika carrier ya graduate na Je wanalipa posho? Kama ndio kama range ya ngapi?

Asanteni



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooopss..nadhani ni career hapo na siyo carrier..

Vinginevyo na mimi sijui il JF ni kubwa watakuja wanaojua vema hii kitu.
 
Aisec faida yake huwezi kuiona mkononi. Lakini longterm huwa inafaida ya endorsement, good network na future employers.

Unapotafuta ajira wakiona kama ni member hata kiongozi wa Aisec wanakuchukua haraka japo kwa sasa soko la ajira ni finyu sana. Aisec huwa na close contacts na Companies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisec faida yake huwezi kuiona mkononi. Lakini longterm huwa inafaida ya endorsement, good network na future employers.

Unapotafuta ajira wakiona kama ni member hata kiongozi wa Aisec wanakuchukua haraka japo kwa sasa soko la ajira ni finyu sana. Aisec huwa na close contacts na Companies.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,
Je kwa graduate program wanatoa allowances?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pendelea kusoma mitandaoni mfano miezi 2 iliyopita TBL , Standard Chartered, walitanfaza nafasi za graduate programe. Kuna kitu vijana wanamisi Kampuni nyingi zinapenda kuona mwombaji ajira anaomba kama graduate programe. Hata Acacia huwa wanatangazaga kwenye official website yao, graduate programe lazima ulipwe mshahara wa mwanzo kabisa labda laki 6. Lakini hupewi contract ya permanent mpaka utakapofuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida za kujiunga na AISEC ni Kuuza sura na kufahamiana na watoto wakare!
Hizo ahadi sijui za kuahiana ajira ni kivutio tu ili AISEC wapate member wengi. Sijawahi ona mtu ameajiriwa kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa AISEC.
Hii ni club ya mabrother men na masista duu wauza sura!
 
Inawezekana miaka ya siku hizi ndio hivyo. Ila ili upate ajira kuuza sura pia ni strategy refer to Eddy sultani aliyekuwa ITV watoto, Kuna members wa Aisec waliajiriwa Deloitte, TCc imeajiri vijana wa Aisec. We ogopa kunetwork kisa kuuza sura halafu ukae na karatasi zako kwa baba yako mpaka uzeeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameuza sura kupitia ukada wa chama walikuwa UK. Wametua bongo tu wakala mashavu ma NHC huko, NSSF huko we kaa na uswahili wako wa kuogopa kuuza sura. Kama ni vyeti watu wengi wanavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni kama TICTs wanaziita management trainee . unajiongeza unaomba sio mpaka kuwe na opening . HR huwa wana software ya kufilter cv kama umeiandika vizuri nafàsi zinapotangazwa hata za internal unaweza kuchukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani cheti changu nilochopewa na AISEC kwenye mafunzo yao pale UDSM jina la pili limekosewa,Je wanaweza kunipa kingine kwa majina yangu sahihi halafu kile niwarudishie?
 
Back
Top Bottom