Je kuna faida au hadara?

BrainOs

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
301
Reaction score
508
Kufuatia tamko la nchi ya china kupiga marufuku bank zake za ndani kujihusisha na ununuzi wa dollar, je kwa upande wa crypto industry itakuwa na faida au hasara?
 
Sio kwamba kwa wachina dola itaadimika watu watahamia kwenye usdt kifanya transaction?
angalia population ya china halafu hiyo population iache kufanya transaction unafikiria nini hapo...?
 
angalia population ya china halafu hiyo population iache kufanya transaction unafikiria nini hapo...?
Ni kweli kwenye fiat itashuka ila kwenye digital nahisi itapanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…