Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Boss we tafuta hiyo Tordon au ukipata nyingine yenye sifa kama hzo tumia. Issue ya kuharibu udongo kma ni hivyo mashamba ya mipunga yote saiz yangekuwa yalishaacha uzalisha kwa sababu ya matumiz ya chemicals. Au njia zingine kma misumari japo namimi sjawahi jaribu, nitaijaribu siku siyo ngingi kuona uwezo wake. Issue ya kung'oa itakukost muda kusumbuana na vibarua.

Kila dawa inamelezo ambayo yanachambua ni namna gani ya kutumia pia kma inaacha mabaki kwenye udongo (residual effect) kwa mda gani inashauri usipande zao fulani ili kuepuka hatari za mbegu kuto kuota au mmea kukua kwa shida. Hakuna mataifa yanatumia hiz chemical kuliko mataifa ya America na Asia na hatujawahi sikia uzalishaji kupungua kwasabu ya kupoteza rutuba kuliko sababishwa na matumizi ya hiz mambo..

Nakutakia uteketezaji mwema wa visiki.
 
nimechukua chakwenda nisaidia pale kwenye pori langu. shukrani mleta uzi na wachangiaji wote
 
Kama unaharaka njia rahisi chukua jembe, shoka na sururu kapambane navyo haitachukua hata wik
 
Mimi nimeng'oa eka mbili wanang'oa kwa laki mbili au wengine mnahesabiana kila kisiki 700-1000 inategembea ukubwa haina shortcut ng'oa halagu pitisha trekta ilime panda chochote ili yasiote tena! kama eneo ni domant aisee utang'oa kila mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani solution ni kutafuta pesa na kukodi bulldozer la kusafisha shamba
 
Ndugu ukipalua magome yamiti ujiandae kukutana na watu wamazingira kuwa unafanya uhalibifu
 
Visiki navyo ni mtihani kweli kwa mashamba mapya
Maana hata ukiingiza trekta litalima vibaya sana kwasababu ya visiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…