Je, kuna dawa ya kunenepa ya hospitalini?

Je, kuna dawa ya kunenepa ya hospitalini?

Habari JF Doctors na washauri mbalimbali,

Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika,
Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu.

Natumai mtanipatia majibu.
Uliugua kwa muda mrefu tatizo gani hadi limekukondesha?
 
Pole sana kwa kuumwa!

Kama Appetite ipo basi piga Supu na chapati mbili kisha shushia na pepsi baridi daily halafu pata lita 1 ya maji baridi.

Mchana Kiepe yai(Zege) Kisha shushia maji baridi.

Usiku Piga wali harage + nyama

Baada ya miezi miwili kapime weight.
 
Pole sana kwa kuumwa!

Kama Appetite ipo basi piga Supu na chapati mbili kisha shushia na pepsi baridi daily halafu pata lita 1 ya maji baridi.

Mchana Kiepe yai(Zege) Kisha shushia maji baridi.

Usiku Piga wali harage + nyama

Baada ya miezi miwili kapime weight.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuna jamaa niliwahi kumuona anakula hii kitu, mwili wake ulikuwa mdogo akawa anataka aongezeke,alifanikiwa sana na alikuwa anafanya na mazoezi. shida hizo supplements siziamini sana usalama wake, bora ujaribu kuongea na mtaalamu wa afya ya lishe nafikiri wanaitwa nutritionists aangalie hali yako na kukushauri chakula unachohitaji kula na kama kuna nyongeza ya supplement yoyote unayohitaji. Mimi naamini kama unataka kupungua ama kuongezeka sharti utumie njia za asili za chakula kinachokuzunguka.
View attachment 1686570
Hii kitu hata Mimi ninampango wa kutumia Ila sijajua effect wataalamu wa afya mje mtushauri
 
Back
Top Bottom