Sawa ahsante kwa ushauriKwa hospital hakuna dawa specific inayoongeza weight ilaa mara nyingi weight gain inakuwa ni kama side effect ya hiyo dawa.. ilaa kuna multivitamin zinazoongeza appetite ya kula na mtaani kuna Herbal zinazoongeza hamu ya kula vizuri zaidi yani utakulaa kama kiwavi maana ili ugain weight lazima ule na sio ule tu ulee vyakula vinavyoonngeza weight kama Nyama...mayai..ugali...wali..asubuhi piga supuu yani mbona faster tu unakuwa bonge
Mm wala sikushauri kunenepa.Habari JF Doctors na washauri mbalimbali,
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika,
Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu.
Natumai mtanipatia majibu.
Si unataka kunenepa kwa haraka?Duh! siwatanimalizaa
Ahsante kwa ushauriKuna jamaa niliwahi kumuona anakula hii kitu, mwili wake ulikuwa mdogo akawa anataka aongezeke,alifanikiwa sana na alikuwa anafanya na mazoezi. shida hizo supplements siziamini sana usalama wake, bora ujaribu kuongea na mtaalamu wa afya ya lishe nafikiri wanaitwa nutritionists aangalie hali yako na kukushauri chakula unachohitaji kula na kama kuna nyongeza ya supplement yoyote unayohitaji. Mimi naamini kama unataka kupungua ama kuongezeka sharti utumie njia za asili za chakula kinachokuzunguka.
View attachment 1686570
Kunywa maziwa mengi.. So far, dawa aina ya glibenclamide miligram 1, saa moja kabla ya mlo huweza kumuongezea apettite mhusika hivyo kumuongezea uwezo wa kunenepa (kuota kitambi).Habari JF Doctors na washauri mbalimbali,
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika,
Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu.
Natumai mtanipatia majibu.
Ama kweli dunia ni kizungumkuti. Wengi wanachukizwa na unene na wengine wanaukimbilia..... Nakushauri uachane na mawazo ya kutafuta dawa za hospitali ili unenepe.Kuna jamaa niliwahi kumuona anakula hii kitu, mwili wake ulikuwa mdogo akawa anataka aongezeke,alifanikiwa sana na alikuwa anafanya na mazoezi. shida hizo supplements siziamini sana usalama wake, bora ujaribu kuongea na mtaalamu wa afya ya lishe nafikiri wanaitwa nutritionists aangalie hali yako na kukushauri chakula unachohitaji kula na kama kuna nyongeza ya supplement yoyote unayohitaji. Mimi naamini kama unataka kupungua ama kuongezeka sharti utumie njia za asili za chakula kinachokuzunguka.
View attachment 1686570
Ahsante kwa ushauriKunywa maziwa mengi.. So far, dawa aina ya glibenclamide miligram 1, saa moja kabla ya mlo huweza kumuongezea apettite mhusika hivyo kumuongezea uwezo wa kunenepa (kuota kitambi).
View attachment 1686587