HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,394
Hakuna kabisa, ukikamatwa nayo unanyongwa chapWakomunisti na ukristo wapi na wapi? Ungeanza kwanza kuuliza kama kuna quran
Kumjua Mungu ni kiaje , umejuaje na wao wana Mungu wao?Unazungumzia mataifa ya kipagani yasiyomjua Mungu, wale itikadi yao ni ukomunisti. Uliza kama kuna quran, si wapo karibu na waarabu huko Asia?
ndio tunataka tumjue huyo mungu wao kama ni mkomunisti, mjamaa, mpepari, mhafidhina, mliberali, mdemokrasia au budha, tao na miungu mingine ya Asia ya kusiniKumjua Mungu ni kiaje , umejuaje na wao wana Mungu wao?
Wa kwako unamjua ? Na unaweza mthibitisha hapa ili na mimi nimjue?ndio tunataka tumjue huyo mungu wao kama ni mkomunisti, mjamaa, mpepari, mhafidhina, mliberali, mdemokrasia au budha, tao na miungu mingine ya Asia ya kusini
Kwanini hakuna?kwahiyo wafia dini wamepigwa??Hakuna kabisa, ukikamatwa nayo unanyongwa chap