Je kuna aina tofauti ya kozi ya post graduate diploma in education?

Mwanakanenge

Member
Nov 25, 2012
75
16
Habari,
Naomba kuuliza kama kuna aina tofauti za kozi za Post graduate Diploma in Education au iko mmoja tu?
Nikisema aina mbalimbali naamanisha Post Graduate Diploma in Education with.....
 
Soma ualimu mkuu, usikimbie. Post graduate ya Education ninayofahamu mimi ni ya DUCE ambayo Dr. Kitila Mkumbo aliipost.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom